Msaada wa gharama za x ray

Swali lako lipo general sana.. bei zinategemeana na aina ya hospital na aina ya X ray
Sio mjuzi ndo mana, ila nimeuliza maana anayehotaji anataka apigwe x-ray kwenye koo. Nimeamua kufanya japo makadrio ya gharama kabla sijampeleka hospitali, tawi la kcmc huko bombo.
 
Back
Top Bottom