Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,363
1,752
Habari jf;

Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
 
Tumia neno pump sio generator... Pia elezea ukubwa wa eneo unalokusudia kulima bustani ili uwezo wa pump ujulikane. Hali ya hewa ulipo ikoje? Upatikanaji wa maji ni upi? Kisima (kikoje) au mto au ziwa au chemchem? Nk.
Aina mimea ni ipi?
 
Hii Amec ni aina ya water pump au kitu gani?

Amec ni engine yenye kazi nyingi inaweza kununuliwa pump ikavuta maji ila Amec kama Amec inahitaji mtambo mwingine kulingana na kazi unayotaka kufanyia.

Kuchana mbao,kusaga kokoto,kukobomoA etc.
 
kARIBU nikuhudumie kwa habari ya pampu za maji, fungua uzi huu pampu za maji
hii hapa chini ni nzuri pia ina horsepower 7, petrol engine, inauwezo wa kutoa maji zaidi ya lita 500 kwa dakika. dukani inauzwa 450,000/=
ukihitaji nicheki 0699494650
TP3202.jpg

Habari jf;

Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
 
Back
Top Bottom