Msaada kuhusu generation ya hii PC

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Naomba msaada wa kujua generation ya Pc au una fanyaje ili ujue generation ya ngapi? Harafu kingine naomba ellimu kidogo kuhusu ana na icore kwenye pc ina kazi gani maana naonaga tu icore 3 au 5 au 7 ila sijui kazi yake na kipi cha muhimu kati ya icore na generation kwenye Pc

Asante.

1590473089423.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pc nyingi tunazotumia miaka hii ni Generation ya nne, japo 5th generation nazo zipo .Hizi ni zile zenye uwezo wa kujibu kutokana na natural language input utakayoipa .
Hizi ni generation kutokana na historia ya uvumbuzi wa kompyuta.
 
Asante sanaaa mbona na sikia hadi kuna generation ya 10 au inakuwaje hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Generation niliyokuelezea ni inayohusiana na historia ya kompyuta toka kwenye uvumbuzi wake mpaka sasa.
Upande mwingine ni generation ya processor inayounda kompyuta yako.Hii unaiona pale Kwenye specifications za processor yako .Unaangalia tarakimu inayofuata baada ya neno kwa mfano core i5 .
Yani corei5 2432, tarakimu inayofuata baada ya i5 ni 2 hivyo processor yako ni 2nd generation.
Sikujua kama ni hiki unauliza.
 
Asante sanaa kwa kwel hv na weza pata group la telegram nijifunze mambo ya laptop???

Back
Top Bottom