Msaada Wa Garage Nzuri Ya Subaru Dar

Eternal_Life

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
812
1,672
Swalama wakuu,

Naomba mwenye anajua garage nzuri ambapo wanatengeneza magari ya subaru anipe muongozo.

Natanguliza Shukrani za dhati.
 
Sidhani kama dar kuna gereji ya subaru tuu.lkn mm nawafaham mafundi wanao tengeneza au deal na subaru.dar
 
Kinondoni biafra..sema ungetaja gari yako ina shida gani ndio ingekuwa vizuri zaidi.kama ni upande wa umeme au machenical
 
Kinondoni biafra..sema ungetaja gari yako ina shida gani ndio ingekuwa vizuri zaidi.kama ni upande wa umeme au machenical
Kuna seal kwenye sterling rod inavuja na kumaliza hydrolic oil yote mkuu.
 
Swalama wakuu,

Naomba mwenye anajua garage nzuri ambapo wanatengeneza magari ya subaru anipe muongozo.

Natanguliza Shukrani za dhati.
Ukiona ni ghali just check on me nikuelekeze sehemu nyingine ambao wako fair zaid!
 
Haya magari ndio maana wengine wanayaogopa sasa wa Mjini tuu mnatafuta fundi kiasi hiki sisi wa Sumbawanga huku jee..matoyota
 
Gari ni gari tuuu.sijui subaru,toyota,nissan,isuzu bmw benzi n.k tofauti majina tuu lkn ufanyaji wa kazi ni sawa.ukiona kama ww ni fundi harafu unashindwa kurebisha jua unashida ww.

Ufundi unahitaji kila siku.kujifunza.

Asilimia kubwa wengi huwa wanakuwa wauza spea. Ila fundi wa kweli hachagui gari
 
Mafundi wa Subaru sasahivi hapa mjini wapo wengi tu.ni kujua yupi mzuri kwamaana wanazidiana ujuzi na uzoefu lakini Mimi nimeshapeleka gari yangu kwa mafundi wa Subaru kama watatu hivi wote ni wazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilishapata uvumbuzi wa tatizo.Nlienda Biafra K/Ndoni kuna garage inaitwa 0-60.Jamaa wako vizur na ndo mahali na fanya service gari.Hawabahatishi.
 
Back
Top Bottom