Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

if usipopata msaada weekiend huwa natumia time angu garage karbu tuchek possibilities mzee niko kinondoni jxt pm
 
Chenj gearbox oil
Habarini za jioni wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis,gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni.

Gari ni ya 2010

Tatizo:

1.Inakosa nguvu

2.Inatoa mngurumo tofauti na kawaida

3. Misfire

Yaliyofanyika

1. Kubadilisha nozzle na chile

2. Kubadili control box iliyokuja na gari d2 na kuweka nyingine(used) u 5

Matokeo

Hakuna mabadiliko

Nawasilisha kwa msaada zaidi.

Nb: Nawasilisha faulty zilizoonekana kwenye diagnostic tool.

View attachment 1865066View attachment 1865067
 
Hata Mimi Nissan yangu ulikuwa hivyo nikaenda pale kariakoo salama nikanunua plug nikabadilisha koili moja ilikuwa shida chombo sasa hivi kinapanda hadi mti. Nguvu imerudi sana
 
Hata Mimi Nissan yangu ulikuwa hivyo nikaenda pale kariakoo salama nikanunua plug nikabadilisha koili moja ilikuwa shida chombo sasa hivi kinapanda hadi mti. Nguvu imerudi sana
Jamaa unamikwara...... Eti ikapanda hadi mti......
 
Habarini,
Kwanza mnisamehe kwa kuwa nilikuwa ni tight kidogo na majukumu.

1. Control box ilikufa(Nimejiridhisha baada ya kwenda kupima sehemu nyingine).
2. Tatizo liliendelea kwa kuwa Control box mpya ilikuwa inapishana/haisomani na Nozzle. Hivyo ikabidi tubadilishe Nozzle mbili zilizokuja na Gari(Matengenezo ya awali nilibadili Nozzle 2)
3. Baada ya Matengenezo hayo ikatumika Diagnosis tool kwa ajili ya Kufuta errors.

Baada ya hayo yote Gari imetulia

NILICHOJIFUNZA
Mafundi wetu bado ni Tatizo (Tatizo dogo ninetumia muda mrefu na Gharama kubwa) ndio maana napata ukakasi kushare contact kwakuwa waliotatua ndio waliokosea Mwanzoni hivyo kama nikikupa contact ujue ni AT YOUR OWN RISK
Ntaomba contacts zao mkuu...
 
Back
Top Bottom