Msaada wa free educational websites

JOESKY

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
816
2,032
Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa zaidi na kuongeza maarifa kichwani ili kuweza kupambana na mazingira ya kuajiajiri.

Napenda nijifunze hasa course za

*graphics and design
Microsoft word and excel powerpoint
 
tutorialpoint
udemy
coursera
edureka

nadhani hizo zinatosha
Yes hapa umemaliza , apambane sasa. Akitaka cheti nadhani anatakiwa aandae dolali kadhaa 160-300 kutegemea na chuo na course, akitaka kusoma tu bila cheti freee..
Kuna na Edx..
 
Yes hapa umemaliza , apambane sasa. Akitaka cheti nadhani anatakiwa aandae dolali kadhaa 160-300 kutegemea na chuo na course, akitaka kusoma tu bila cheti freee..
Kuna na Edx..
Wanatoa skolashipu kwa wananchi walioko nchi zinazoendelea. Unalipia 10% ya ada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom