Msaada wa faculty ya kusoma

sonofdory

Member
Jul 4, 2016
78
38
Wadau... Mimi nimehitimi kidato cha sita mwaka huu ila mchepuo wa PCB. Ila napata mkanganyiko nichague faculty gani zenye kulipa vizuri baadae. Nisaidieni jamani,
Naifaham MD tu... hzo nyingine hata szijui.. Pia nisaidieni wadau.. hivi nanaweza kuapply BVM?
 
Hawaiti "faculty" Bali ni "degree programa" au basi hata uite 'kozi" gani ya kusoma. Download TCU guidebook utapata muongozo.
Kama ni faculty angesema Health. MD na Pharmacy na kozi zingine za afya zote zipo ndani ya hiyo faculty. Kuna tofauti zake. Kuna faculty za engineering,business,na nyinginezo ambazo ndani ya hizo faculty kuna kozi za aina mbalimbali.

Dogo ada-download guide book ya TCU mwaka Jana aangalie kuna vitu vyote vinavyohitajika. Na vigezo vyote. Link Hi hapa
www.tcu.go.tz
 
kama ukipa division 3, achana na hayo mambo udaktari njoo usome education.
nakusahihisha mkuu kama hana division one ya mwnzo asijiaumbue. aende education tuu tena sababubamesoma sayansi ana uhakika wa ajira. najua vyuo vy private wanachukua hata divison 3 ila ada hata iweza milioni5 mpaka 6 sio ndogo. serikali inamopa milion3.1 hio nyongine aongezee ila kama zipo basi poa MD ataisoma
 
Mnasomaga hata guidebook ya TCU tu au mnakoment ili mradi umekoment
1. Muhimbili point kwa mvulana point 7 msichana point 6
2. Bugando MV point 7 ms point 6.
3. UDOM point 5
4. Hubert kailuki 4.5
5. KCMC 4.5
Chuoni unachaguliwa kwa kuangalia points sio division
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
F-0
Sijui mgawanyiko wa points kwa maksi za sasa za BRN,
 
mkuu usiwe mbishi bana me mwanachuo nko mwaka wa kwanza brn hapa. kwa kutumia division unaweza convert kwenda GPA so we uliesema point na mimi niliesema division hamna tofauti kikubwa ujue namna ya kuzipata hizo point, ndio muhas MD minumum ni point7 sasa hiyo division unashiundwa ku balidisha kweli hapo kwenda GPA? acha kukariri maisha ndo maana watanzania hatufanikiwi sababu tunatumia njia zilezile zinazosemwa vinywani mwa wengi
 
Of course nlikua namaanisha degree program.. ckufaham kama ina utofaut na faculty
 
Mnasomaga hata guidebook ya TCU tu au mnakoment ili mradi umekoment
1. Muhimbili point kwa mvulana point 7 msichana point 6
2. Bugando MV point 7 ms point 6.
3. UDOM point 5
4. Hubert kailuki 4.5
5. KCMC 4.5
Chuoni unachaguliwa kwa kuangalia points sio division
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
F-0
Sijui mgawanyiko wa points kwa maksi za sasa za BRN,
Hahahah.
Tatizo siyo hizo point inshu inakuja kwenye ykupata nafasi ya kuchaguliwa hizo program zenu za udokta.
Competition huwa ni kubwa, wengi wao wenye point chache hukosa nafasi mwisho wa siku usoma education.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom