Msaada wa Facebook Sponsored Ad

mzalendo-wa-tz

JF-Expert Member
Dec 15, 2014
404
187
Wakuu, nina page yangu fb, ninataka niipromote iwe na Like nyingi kwa kutumia fb sponsored Ad. Nina pata shida jinsi ya kulipia. Nina akaunti crdb je hiyo inaweza tumika kulipia?
Asante kwa msaada
 
Back
Top Bottom