msaada wa E153u-2

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,736
2,321
Habari zenu wanajukwaa ,,,,wakuu nina modem lkn kila nikiiweka katika pc inasema '''''the device is unrecognized by windows''''' na nikienda my computer sioni dalili ya any device ,,,,imewai kufanyiwa attempt ya ku-unlockiwa japo iligoma na iliendelea kufanya kazi na baadae kugoma kabisa natanguliza shukrani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom