esiankiki JF-Expert Member May 13, 2014 486 658 Sep 24, 2019 #1 Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei maana hatuna bima. napatikana Dar
Habari wakuu, nina ndugu tangu ana shida eczema(pumu ya ngozi) naomba kujua wapi tutapata speciliast mzuri na bei maana hatuna bima. napatikana Dar
M mabwiku JF-Expert Member Jun 7, 2015 447 389 Sep 27, 2019 #2 weka vizuri bandiko lako nikusaidie,ana umri gani na yupo wapi