Msaada wa dharura-link ya kudownload free VPN

daisyvicky

JF-Expert Member
Sep 22, 2012
343
197
Wakuu nipo sehemu sina access ya playstore, nina shida sana na vpn mnoo nisaidieni, kuna vitu vya muhimu nataka kuvipata whatsapp, nimeweka ya kununua lakini imefanya kazi nikiwa dukani, haikubali tena. Nisaidieni pls pls.

Shukrani
 
f1b8b3385fbf9b2df35127e05141050b.jpg



hiyo hapo ukiitaka unlimited nitafute telegram 0654506515
 
unataka udownload nini? uekewe link humu, maana na hio vpn yawezekana pia imeblokiwa kwenye hio network.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Back
Top Bottom