daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 197
Wakuu nipo sehemu sina access ya playstore, nina shida sana na vpn mnoo nisaidieni, kuna vitu vya muhimu nataka kuvipata whatsapp, nimeweka ya kununua lakini imefanya kazi nikiwa dukani, haikubali tena. Nisaidieni pls pls.
Shukrani
Shukrani