msaada wa desa la memorundum

Halafu thanks kwa msaada wa hiyo link.
Nadhani weka pia kwenye jukwaa la sheria unaweza kupata msaada mzuri. Otherwise ukienda kwa wakili atakuwa na copy .kwa kiasi kidogo cha fedha utachapiwa inasuit need zako.

Lakini hata za hapo bongo haziwezi kuwa tofauti sana na hizo unazoona kwenye net. zinahitaji editing ndogo tu .
 
.
Thanks a million mkuu. mawazo yako nimeyapenda sana. Nimesha anza kwa utumia internet material, lakini nilifikiri nikipata sample kamili ya bongo naweza nikapata mawazo mengine mazuri. Nafikiri wazo lako la kuwa ona hawa jamaa (mawakili) ni bora sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom