Guy Isaac
Senior Member
- Aug 10, 2019
- 126
- 60
Jamaa kuwa serious na magonjwa ya watuUkitumia kvant mkuu yataisha yote
Jamaa kuwa serious na magonjwa ya watuUkitumia kvant mkuu yataisha yote
Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"View attachment 1181361
Kitu anachopaswa kujua ni kuwa ukiamua kuwa mnyoaji ndevu,uwe unanyoa kila siku na hili wengine kwao ni ngumu,ndevu kama alivyosema Prince Kesh Jr hapo juu, ukiruka siku moja na kama hizo sehemu ulizonyoa ulijikata ile ndevu ikianza kuchomoza hua inafunikwa na jeraha linalopona, na kinachotokea ni kipele, ambacho ili kiachie inabidi utumbue kwa kitu chenye ncha kali ili kuruhusu ile ndevu itokeze.Kingine kwenye hivyo vipele kuna nywele ndani yake imeota,jaribu kuvitumbua utakuta nywele na vitakauka.
Sasa c nitatonesha vdonda ambavyo bdo havijakauka na kupelekea either skin cancer mkuu, Au ww unalionaje hiloUnaweza kuwa unyoa kwa Shaving Magic alau Mara moja kwa wiki. Hii kitu imewasaidia baadhi ys watu ninao wafahamu na Mimi nikiwa ni mmojawapo.
Ahsante
Ahsante Sana mkuu kwa ushauri wko mzur ila cna demu wote wananikimbia kwa vdonda hivi vilivyokosa matibabuWewe ndio kwanza umeota ndevu na ulichojichanganya ulianza kuzinyoa kwa hizi nyembe za kawaida.
Sasa fanya yafuatayo and thank me later:
1. Punguza kunyoa mara kwa mara. Nyoa at most 2x kwa mwezi, if possible 1x only.
2. Acha kunyoa kwa nyembe za kawaida, kanyoe saloon. HATA KAMA UNA MSHINE YA UMEME KWAKO DONT USE IT, NENDA KANYOE SALOON.
3. Usitumie dawa yoyote kwani utazid kuongeza tatizo.
4. Acha kuviwaza hivo vipele. Najua zinakutesa sana kisaikolojia hizo ndevu, ukichanganya na hayo mapele ndio kabisa unadata mpaka nahisi umekosa confidence mbele ya public. Sasa wewe usiviwaze na fanya mambo yako as if nothing is happening.
5. Kama una demu mwambie awe anakuchezea hayo maeneo.
Na log off.
Nashkuru sana kwa ushauri itabid nijikaze kidume coz zikichomoza tu huwa zinawasha sana mpka nakosa amanPole sana mkuu
Niliwahi kua na tatizo kama lako na nikatumia dawa zaidi ya 40 (za viwandani, mtaani, matunda n.k) lakini sikupona, zilikua zinanisadia kwa muda lakini bdae hali inaendelea…
Ushauri:
Niliacha kunyoa ndevu zote, nikawa nazipunguza tu na tatizo likaisha kabsa
I think tube zote nimezitumia lkn zimedundaMuna kadawa ka kipuuzi mi natumia kananisaidia sna na kila nilie mwambia alipotumia alinishukru sana maana mapele hayo yanatesa sana yaani dawa yenyewe inauzwa 1500 au 2000 tu kwenye maduka ya vipodoz au pharmacy hata duka la dawa nika tube kablue kanaitwa epiderm kana picha ya manzi mkali.. Unapaka baada ya kunyoa jioni, usiku au asubuhi ila sio mchana. View attachment 1181440
mh, nyembe mkuu ndio atatoka mapele makubwa makubwa, hapo namshauri asinyoe kwa muda kama miezi miwili aache kidevu kipumzike, na akija kunyoa anyoe uelekeo wa ndevu asinyoe viceversa, halafu pia asikwangue ndevu zote/kiparaBadilisha style, tumia wembe na old spices after shave. Ndivyo ilimsaidia mtu wangu
Pole sana Mkuu! ili kukausha na kuondoa hayo mapele haraka chukua Maji ( vikombe 3) weka Chumvi ( vijiko 3 vya chakula)), chemsha , ya kichemka chukua kitaulo anza kujikanda kuzunguka eneo lote la kidevu na mashavu.Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"View attachment 1181361
Ahsante, hyo tiba ngoja nianze Léo mzee babaPole sana Mkuu! ili kukausha na kuondoa hayo mapele haraka chukua Maji ( vikombe 3) weka Chumvi ( vijiko 3 vya chakula)), chemsha , ya kichemka chukua kitaulo anza kujikanda kuzunguka eneo lote la kidevu na mashavu.
fanya hivyo kwa siku 3-5 asubuhi na usiku, pia fanya hivyo kila baada ya kunyoa. Hapo tatizo kwisha. Utaleta mrejesho
Unatumia nia gani kunyoa?