Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,585
Analeta posa kwanza kisha anamalizia mahariππππππππππUnatumia nia gani kunioa?
Analeta posa kwanza kisha anamalizia mahariππππππππππUnatumia nia gani kunioa?
Unatumia nia gani kunyoa?
Tatzo zinawasha sana hizi za mashavuni mpka najuta mm kuota ndevu nikiw na umri mdgo hiviJaribu kutokunyoa kama miezi miwili hivi ili mapele yapungue
Usinyoe kwa wembe tumia mashine
Paka aftershave
Tumia bump patrol,ni nzuri sna kaka mkubwa imenisaidia!!inakausha vipeleNaomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"View attachment 1181361
Analeta posa kwanza kisha anamalizia mahariππππππππππ
Nitatafta pesa utaingia tu mkengeniAnaleta posa kwanza kisha anamalizia mahari
Inapatkana wapi hyo kaka ?Tumia bump patrol,ni nzuri sna kaka mkubwa imenisaidia!!inakausha vipele
Badilisha style, tumia wembe na old spices after shave. Ndivyo ilimsaidia mtu wanguMashine za kawaida zinazotumika saloon
Maduka ya vipodozi,uko mkoa gani?Inapatkana wapi hyo kaka ?
Kwa Dar nlinunua KariakooMaduka ya vipodozi,uko mkoa gani?
Kingine kwenye hivyo vipele kuna nywele ndani yake imeota,jaribu kuvitumbua utakuta nywele na vitakauka.Maduka ya vipodozi,uko mkoa gani?
Old Spice ni brand ya Wazee hiyo. Baba yangu alikuwa anaitumia nikiwa bado dogo. Ila ni nzuri sana. Mimi ningemshauri amuonde Daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi wamfanyie culture kwanza.Badilisha style, tumia wembe na old spices after shave. Ndivyo ilimsaidia mtu wangu
Fuata ushauri wa kutonyoa muda mrefuTatzo zinawasha sana hizi za mashavuni mpka najuta mm kuota ndevu nikiw na umri mdgo hivi
Mm niko kahama mkuuMaduka ya vipodozi,uko mkoa gani?
Muhenga mwenzangu ulitaka kuandika nini hapa?Unatumia nia gani kunyoa?