Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Watafute wamasai...wana dawa ya kienyeji ya unga...ni nzuri ila
Mm ilinishinda ina mafua sana
 
Bump patrol, Hiyo kitu iko poa sana pia jaribu kutumia mashine badala ya viwembe kama ni mtumiaji wa viwembe
 
Tafuta dawa inaitwa Persol 5 (Benzyl Peroxide)
1564302234115.png
 
Bump patrol, Hiyo kitu iko poa sana pia jaribu kutumia mashine badala ya viwembe kama ni mtumiaji wa viwembe
Na hii ndo dawa ya kweli mimi iliniokoa ila asipokusikiliza na kukjelewa basi tmwache aliwe mapesa yake mpaka basi

Ila BUMPPATROL ndo kiboko ya hayo mapele inafanya kazi kwa asilimia mia moja so bro itafute na uitumie mimi ni shahidi katika ili ninalo kwambia mzee baba
 
Acha kurudia viwembe vya kunyolea...

Acha kutumia viwembe vya mia mia vile... tumia gilette au mashine ya kunyolea...

Usipende kunyoa kila siku... kipe muda kidevu... tumia after shave...



Cc: mahondaw
 
Nitafanya vipi ilinisipate mapele ya ndevu ninaposema nyoa ndevu
Mapele utokana na nywele zinazoanza kuota baada ya kunyoa. baadhi ya vinywele hujiviringisha ndani ya ngozi badala ya kutoka nje ya ngozi.

Kuondoa mapele unatakiwa uziache ndevu ziote zote zitoke nje ya ngozi na usinyoe kwa muda ( au tumia mkasi kupunguza) ili ngozi ilainike.
 
Asante JERRY hizo sabuni kila siku natumia hàta mimi nauza hizo sabuni na miaka 2 natumia hizo sabuni labda inategemea na na ngozi
 
Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"
IMG_20190814_192834.jpeg
 
Back
Top Bottom