Nitafanya vipi ilinisipate mapele ya ndevu ninaposema nyoa ndevu
Watafute wamasai...wana dawa ya kienyeji ya unga...ni nzuri ila
Mm ilinishinda ina mafua sana
Na hii ndo dawa ya kweli mimi iliniokoa ila asipokusikiliza na kukjelewa basi tmwache aliwe mapesa yake mpaka basiBump patrol, Hiyo kitu iko poa sana pia jaribu kutumia mashine badala ya viwembe kama ni mtumiaji wa viwembe
Tumia gillet au bic original razor... Tumia maramoja tu...,zile zenye double razor na mshikio wa plasticNitafanya vipi ilinisipate mapele ya ndevu ninaposema nyoa ndevu
Mapele utokana na nywele zinazoanza kuota baada ya kunyoa. baadhi ya vinywele hujiviringisha ndani ya ngozi badala ya kutoka nje ya ngozi.Nitafanya vipi ilinisipate mapele ya ndevu ninaposema nyoa ndevu