Msaada wa dawa ya matibabu ya upele wa ndevu

G

Guy Isaac

Member
Joined
Aug 10, 2019
Messages
28
Points
45
G

Guy Isaac

Member
Joined Aug 10, 2019
28 45
Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"
img_20190814_192834-jpeg.1181361
 
Prince Kesh Jr

Prince Kesh Jr

Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
76
Points
125
Prince Kesh Jr

Prince Kesh Jr

Member
Joined Jul 21, 2018
76 125
Naomba msaada wenu wana jf na wataalamm,ni dawa gani naweze kutumia kutibu huu upele wngu ulioharibu mwonekano wa ngozi yngu, pls naomba kusaidiwa nimenunua xana dawa za pharmancy lkn wapi ndo ttzo linazid kuwa kubwa kbxa maybe nakosea dawa sahihi hvyo nimeandka uzi huu kwa wataalam na wakubwa zngu mnisaidie kijana wenu nimeteseka sana,mtaani nimetungiwa jina jipya la "manundu"aka "makokoto"View attachment 1181361
Tumia bump patrol,ni nzuri sna kaka mkubwa imenisaidia!!inakausha vipele
 
k_dizle

k_dizle

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2015
Messages
787
Points
1,000
k_dizle

k_dizle

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2015
787 1,000
Vipele vinatoka kwasababu ya kunyoa kwa kiwembe au Kama ni mashine basi kinyozi anakwangua kabisa ndefu. Huko kukwangua ndipo kunaleta hivyo vipele.

Kama unanyoa na kiwembe Acha kabisa na Kama unatumia mashine mwambie kinyozi asikwangue ndevu anyoe tu kama anavyonyoa kichwani.
 
C

CHIBE BOYS

Member
Joined
Apr 20, 2019
Messages
24
Points
45
C

CHIBE BOYS

Member
Joined Apr 20, 2019
24 45
Acha ndevu zijitawale
Wewe una asili ya ngozi ngumu,kwa hiyo hata utumie dawa za aina gan,vipele vitatoka tu
Jambo la msingi usinyoe ndevu kama unavyonyoa,punguza tu
 
Mrigariga

Mrigariga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Messages
1,578
Points
2,000
Mrigariga

Mrigariga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2011
1,578 2,000
Badilisha style, tumia wembe na old spices after shave. Ndivyo ilimsaidia mtu wangu
Old Spice ni brand ya Wazee hiyo. Baba yangu alikuwa anaitumia nikiwa bado dogo. Ila ni nzuri sana.
Mimi ningemshauri amuonde Daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi wamfanyie culture kwanza.
 

Forum statistics

Threads 1,325,448
Members 509,127
Posts 32,192,776
Top