Msaada wa dawa ya kikohozi sugu na koo kuuma sana

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Jamani naomba msaada mama yangu amepigwa na kikohozi ambacho akihishi Yaani ameshatumia dawa Lakini haponi.

Ameshatumia dawa za asili pamoja na dawa za kizungu Lakini wapi.

Sasa hivi anasema koo linauma Kama kichwa vile Yaani maumivu ya koo yako Kama vile maumivu ya kichwa.

Na anadai kuwa shingoni kwake kuna kitu ambacho kimezama akishuki wala akipandi

Mwaka jana walimpima wakamwambia ana matatizo kooni akachomwa shindano 8 Lakini hayo matatizo yeye alikuwa hayajui Kama ni matatizo gani kwasasa nahisi ndo haya sasa

Lakini tunajaribu kumwambia aende hospitalini anakataa kabisa hataki

Kama kuna mtu yeyote ambaye anajua dawa ya ugonjwa huu au au kujua ugonjwa huu please

Naomba msaada wake
 
Pole mkuu hata Mimi mama yangu Ana hili tatizo wanasema ni kikohozi Cha Moyo. Ila neno msahada na neno ahende rekebisha mkuu.
 
Mkuu mpeleke mama hospt hata kwa viboko,unaweza kuta hata Ni cancer ya Koo,wee umengangania kumlishaaa mizizi
 
Jamani naomba msaada mama yangu amepigwa na kikohozi ambacho akihishi Yaani amesha tumia dawa Lakini aponi
Amesha tumia dawa za asili pamoja na dawa za kizungu Lakini wapi
Sasa ivi ana sema koo Linauma Kama kichwa vile Yaani maumivu ya koo yako Kama vile maumivu ya kichwa
Na anadai kuwa shingoni kwake Kuna kitu ambacho kimezama akishuki wala akipandi

Mwaka jana walimpima wakamwambia ana matatizo kooni akachomwa shindano 8 Lakini ayo matatizo yeye alikuwa aya jui Kama ni matatizo gani kwasasa na hisi ndo aya sasa
Lakini tunajaribu kumwambia ahende hospitalini ana kataa kabisa ataki Kama Kuna mtu yeyote ambaye ana jua dawa ya ugonjwa huu au au kujua ugonjwa huu please naomba msaada wake
Yuko wapi?
 
Bila kwenda hospitalini ikajulikane tatizo ni nini atapataje matibabu?.Ugonjwa unatibiwa baada yakujulikana.Ata wewe ungekuja na jina la ugonjwa ingekua rahisi zaidi kupata ushauri wa dawa kuliko jinsi ulivyokuja.Sio wakati wote niwakusikiliza wazazi.kuchelewa kujua tatizo ni kulikuza tatizo.
 
Back
Top Bottom