Msaada wa dawa ya asili ya UTI

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Ningependa kujua dawa ya asili inayoweza tibu UTI,kuna mtu aliwahi nambia ila nimeisahau,kwani kuna vitunguu Saumu,tangawizi na vitu vingine.Anae jua anisaidie pls.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafanye urine for culture and sensitivity kitaonesha dawa gani inawez kunitibu kwa uhakika. Km sehem uliyopo kuna branch ya maabara ya Lancet pathologists itakuwa bora zaidi kwa uhakika wa majibu
 
Back
Top Bottom