Msaada wa dawa nzuri ya malaria sugu

Tamu chungu

Member
Dec 20, 2015
85
64
Habari zenu waungwana,
Naomba kwa mwenye kufahamu dawa nzuri ya malaria sugu inapopatikana anielekeze na anitajie na jina la hiyo dawa mana huwa nasumbuliwa na Malaria ya mara kwa mara mpaka nakosa raha.

Kiukweli siwezi kukaa miezi miwili bila ya kuumwa Malaria.Nimejaribu kutumia DUOKOTEKSIN na ATEMISIN lakini wapi hali bado ni ile ile.

Hata kama kuna mtu anafahamu daa ya mitishamba nitashukuru kama atanielekeza inapopatikana na bei yake.

Shukrani sana kwa mtakaonisaidia
 
1. Arovela - kata kata vipande vidogo vidogo weka kwenye maji siku tatu ; kisha kunywa kikombe kidogo kimoja mara moja kwa siku saba

AU.

2. Kwa kuanzia kwa kuwa imeshakomaa tumia mbegu za mlonge 3x3x7 ila kila mbegu tatu lazima unywe maji lita moja; na maji siyo lazima unywe kwa mpigo unaweza kunywa kidogo kidogi ili mradi mbegu tatu ziende na maji lita moja.

baada ya hapo juu endelea na hii hapa

3. Unga wa mlonge kijiko cha chai weka kwenye maji ya uvuguvugu wa mbali, tumia muda mrefu.

copy MziziMkavu.
 
Asante kwa msaada Mamdenyi
 
mwa40 ndio suluhisho la tatizo lako!chuma mwa40 iwe ni majani yake au magome kisha chemsha sana kwa huku umefunikia katika surufia kubwa ikishachemka kwa muda mrefu kajifkize kwa kujifunika shuka au blanket hakikisha mvuke wote unaupata uishie mwilini kwako!baada ya hapo tulia hadi dawa ipoe kisha kunywa atleast hata lita moja.usipopona najitundika
 
mkuu malaria sugu kila baada ya miezi miwili really?

swali moja kuu hizo malari huwa unakwenda kupima na kuthibitiahwa kweli ni malaria au ni dalili ?

Na je unakwenda kupima wapi hospital au dispensary?

mkuu jibu hayo maswali hapo juu ndo tuendelee
 
Nilijifunza kwa Isaack Ndodi fanya hivi. Piga dose ya vitunguu swaumu kwa siku 10. Menya pichepe2 asbh piga tena 2 mchana na 2jioni.unaweza kumeza bila kutafuna ukiweza tafuna. Ila siku ya 9 au 10 lzm utaharisha hapo utafuta hao wadusu pseudomodiam. Jaribu uone nunua vitunguu viwili tu kishwa buku inahitajika hapo aubjero achama na hizo duocotexcin na nn
 
Back
Top Bottom