Tuna uhaba wa madaktari tulia wewe..Oi wakuu
Mnakausha ? Nachelewa
Unachukulia uhai as a joke!.. wacha nao uku joke..😅Nasubili huku nachelewa
Nimeacha mbwembweAcha mbwembwe mbona nakunywa Safi tuuh hapa
Kwani hizo pombe ni za ofa au unanunua kwa pesa yako?Haina madhara hii ???
Eehe hayaa...!! Pambanaa sema POMBE NA DAWA HAZIENDI ACHA TAMAAA...PONA KWANZA japo dawa pekee inayoweza kulete side effect kubwa mpaka kupelekea Kifo ni Metronidazole lakini hizi zingine chance ya kulete shida ni kubwaa jali afyaa yako mzee pombe zipo tuu.Nurse alisema ntumie hizi pale pharmacy ewt
AsanteEehe hayaa...!! Pambanaa sema POMBE NA DAWA HAZIENDI ACHA TAMAAA...PONA KWANZA japo dawa pekee inayoweza kulete side effect kubwa mpaka kupelekea Kifo ni Metronidazole lakini hizi zingine chance ya kulete shida ni kubwaa jali afyaa yako mzee pombe zipo tuu.