Msaada wa dawa hii

baharia 1

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
1,254
1,255
Habar wakuu naomba kuuliza Kama umekunywa hii dawa ukanywa pombe kwadharura Kuna madhara yoyote ya Mara moja ?

Asante
IMG_20201024_172136_706.jpg

Msaada waharaka wakuu nimepata kadharura....
 
Kwani hizo pombe ni za ofa au unanunua kwa pesa yako?

Kunywa maji mengi, wahi nyumbani ukalale. Hizo dawa zinaleta usingizi..ukijumlisha na hizo pombe utazima bila kujielewa.
okh asante
 
Nurse alisema ntumie hizi pale pharmacy ewt
Eehe hayaa...!! Pambanaa sema POMBE NA DAWA HAZIENDI ACHA TAMAAA...PONA KWANZA japo dawa pekee inayoweza kulete side effect kubwa mpaka kupelekea Kifo ni Metronidazole lakini hizi zingine chance ya kulete shida ni kubwaa jali afyaa yako mzee pombe zipo tuu.
 
Back
Top Bottom