Msaada wa cv

Mzunde

Senior Member
Aug 30, 2016
141
103
Poleni na majukumu wakuu,

Kama kichwa kinavojieleza hapo juu , jamani naomba mwenye muundo mzuri wa cv anisaidie maana mwenzenu ninamwaka wapili sasa nimetuma cv kila ninaposikia nafasi ya kazi ila sijawahi bahatika kuitwa kwenye usail hata mmoja. Msaada wenu ni muhimu sana
 
What makes u think CV ndo ina tatizo? Maybe barua/cover letter ndo ina shida .. Grammar, sifa unazosema unazo ni too perfect to be true, kilichopo kwenye letter haki match na CV.. Mambo kama hayo

Aisee kila kitu kipo sawa nakinafanana mkuu sijui tatzo nini
 
Tupe sample za barua zako...
Maana nshaanza kuona makosa ya kiufundi kwenye uandishi wako
 
Hiyo apo mkuu naomba marekebisho hapo
Nmeiona Mkuu.. Naomba nitumie cv yako pm.. Au hata hapa Kama hutojali.. Niweze kukupa mrejesho..

Kwenye barua zako.. Unakosa mpangilio mzur wa Mawazo na ustadi wa kiuandishi..
Na hii inatokana na tabia ya kuchukua phrase kwenye barua mbali mbali ili kutengeneza barua moja
Pili, kuna details ambazo naamin zitakuwa kwenye cv yako.. Lakini umezirudia kwenye barua.. Na hii inasababisha uonekane haupo makini na unapenda copy and paste..
Kuna suala la sheria za uandishi wa barua, (zingatia aina ya mtindo na muundo unaotumia kuandika barua).. Vipengele hivyo hujavipambanua vya kutosha..
Pia vipengele vya barua.. Kwa Maana ya utangulizi, kiini cha barua na hitimisho vinakosa uhusiano wa kimtiririko...
 
Mkuu mi nadhani structure ya cover letter haipo sawa, umejaribu kuonyesha tu kwa nini kampuni ikiuajili na haujaonyesha skills zako zimesaidia nini na wapi(mifano uliyofanikisha kutumia hizo skills ulizo nazo).
Mi nafikiri jaribu kufuata structure hii
1st paragraph: Onyesha nafasi ya kazi unayoomba na sehemu ulipopata tangazo na sababu za kutaka kufanya kazi na hiyo kampuni.
2nd paragraph: Onyesha skills(angalau tatu) na wapi ulipozitumia na kitu ulichofanikiwa kukitimiza kutumia hizo skills zako.
3rd paragraph: Onyesha kwamba upo tayari kwa interview na muda ambao unaweza kupatikana.
 
Nashukuru sana mkuu nashukuru sana nimekupata
 
Naombeni kuuliza hivi ukituma maombi ya kaz kwa bahasha yenye nembo ya company ulopo sasa ni makosa? Msaada
 
Mkuu mi nadhani structure ya cover letter haipo sawa, umejaribu kuonyesha tu kwa nini kampuni ikiuajili na haujaonyesha skills zako zimesaidia nini na wapi(mifano uliyofanikisha kutumia hizo skills ulizo nazo).
Mi nafikiri jaribu kufuata structure hii
1st paragraph: Onyesha nafasi ya kazi unayoomba na sehemu ulipopata tangazo na sababu za kutaka kufanya kazi na hiyo kampuni.
2nd paragraph: Onyesha skills(angalau tatu) na wapi ulipozitumia na kitu ulichofanikiwa kukitimiza kutumia hizo skills zako.
3rd paragraph: Onyesha kwamba upo tayari kwa interview na muda ambao unaweza kupatikana.
Mkuu what if mtu ni fresh from school...hiki kipengele cha experience daah
 
Mkuu mi nadhani structure ya cover letter haipo sawa, umejaribu kuonyesha tu kwa nini kampuni ikiuajili na haujaonyesha skills zako zimesaidia nini na wapi(mifano uliyofanikisha kutumia hizo skills ulizo nazo).
Mi nafikiri jaribu kufuata structure hii
1st paragraph: Onyesha nafasi ya kazi unayoomba na sehemu ulipopata tangazo na sababu za kutaka kufanya kazi na hiyo kampuni.
2nd paragraph: Onyesha skills(angalau tatu) na wapi ulipozitumia na kitu ulichofanikiwa kukitimiza kutumia hizo skills zako.
3rd paragraph: Onyesha kwamba upo tayari kwa interview na muda ambao unaweza kupatikana.
Mkuu nawezaje kupata mawasiliano yako Mimi nimetaka niku Pm lakini nashindwa nilitaka niombe msaada baadhi ya maeneo kwenye Cv...
 
1. Apply basing on strengths of advertisement.

2. Your application letter have many typo & grammatical errors !

3. Find someone else for proof reading your applications & s/he must be competent in official communication skills.

4. I am sorry to say that "possibly unsuccessful of your applications were highly related to poor cover letters you was drafting !!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom