jisanja
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 1,075
- 684
Habari za Leo wanajamii forum jukwaa la ujasiliamali.....Naomba tafadhali kwa yeyote anayeweza kunipa market connection ya Wale wanunuzi wa kuku wa kienyeji (kwa jumla) kwa hapa daresalama Naomba anisaidie.....cuz nmejaribu kuzunguka mahotelini wanasema wana watu special hua wanawaletea...mpaka Nmechoka....msaada plz