Msaada wa chuo

uncle Bk

Senior Member
Apr 20, 2015
165
83
Khabari wana Jf, naomba msaada wa kujua chuo kinachoweza kuchukua mwanafunzi aliehitimu 4m6 mwaka jana kupata III.16 Kwa pcm
 
Bachelor hawezi kwenda mkuu kwa kuwa hana D 2 hapo na mwaka jana walitumia vigezo vya mwaka 2016 so kuweza kupata bachelor kwa 3 ya 16 ni kitu ambacho hakiwezekani labda angekuwa na 3 ya 14 na tena apate credit 2 za D na F moja yaani D,D,F. Nakushauri tu labda aanzie diploma kisha aunge bachelor.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu Aliyemaliza form 6 anakuwa na Utofauti gani na mtu wa form 4 wote wakiwa diploma?

Kwa sasa hamna utofauti tangia mama ndalichako alivyofutailia mbali ADVANCED DIPLOMA na kufanya ORDINARY DIPLOMA KUSOMWA na both form 6 leavers na form 4 leavers .
So kama ataanza diploma ajue atapiga ordinary diploma kwa miaka 3 then atachagua yeye apige kazi kwanza ndiyo aende bachelor au aunge direct bachelor.
Kwa mwaka 2015 kurudi nyuma kama ilikuwa wewe ni form 6 leaver na umekosa vigezo vya kwenda bachelor ulikuwa unaweza kusoma ADVANCED DIPLOMA 1 year kisha ukipata GPA stahiki unaunga bachelor now wameifuta. ila elimu yake ya 6 inaweza kumsaidia kwenye kumpunguzia mzigo kwa kuwa yeye anakuwa mbele ya wenzake modules nyingi za diploma ni zile zile za advace so atakuwa vizuri kwenye GPA kama akikazana.
But mkuu kwa nini asiende kusoma FOUNDATION COURSE mwaka mmoja kisha akaenda bachelor? Though sijui unajiungaje but najua vigezo vyake kwa advance ni E 1 na S 1 1.5 points.
 
Sawa mkuu
 
Nasu

Nashukuru
 
Umetoa msaada mkubwa sana kwa kweli ubarikiwe
 
mbali ya kuchanganya mambo mengi, nichangie moja tu, nakumbuka kama vila Mama Ndalichako aliifuta ile Foundation Course.
 
Namshukuru Mungu nimepata diploma ya medical lab,
Ila naomba mnisaidie kati ya Bugando na Rucu kipi kikovizury kwa maisha ya mlala hoi
 
Back
Top Bottom