Msaada wa chuo cha clinical ofisa kizuri cha binafsi

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,311
73,855
Naomba mwenye kujua chuo kizuri cha clinical officers training school cha binafsi aniwekee hapa.

Nitashukuru sana
 
St.bakhita kipo rukwa, bonge moja na chuo kwa upande wa nursing na clinical medicine
 
Inavyoonysha. Watu hawaendi form five tena, wanakimbilia vyuo. tufanyeje, labda nursing watu hawaipendi sana hasa wanawake.
Kweli kabisa, hata me naona hivyo.. maana dvn 1 au 2 inabidi waende five.. sasa siku hz wanajazana CO
 
Kama usipojali soma nursing,ina shavu kuliko CO

Ina shavu kuliko CO kivipi wakati diploma zote serikalini mshahara ni sawa

Pia kwa level ya degree daktari analipwa almost milioni na nusu basic while nurse milioni moja

Hilo shavu la nurse vs clinical officer ni lipi?
 
Kiutendaji CO hawezi kufanya kazi kwenye Hospitali kubwa while RN anafanya.
 
Back
Top Bottom