Serikali ushindani ni mkubwa. angalia kibaha, lugalo kilosa, lo!KAM DRS, Paradigsm DRS, ST david..
But kwann usiende government mkuu...?
Eckenforde kidogo ??????Enkniford Tanga
Ok.. ila unajaribu tu huwezi jua zari lakoSerikali ushindani ni mkubwa. angalia kibaha, lugalo kilosa, lo!
SijakuelewaEckenforde kidogo ??????
siyo kizuriSijakuelewa
Poasiyo kizuri
Mwaka jana walichukua cut off ya point 17 ambayo ni div 1- kwa Lugalo na Kibaha , kilosa. Mimi nina div 2 pt 20.( ni mwaka jana) unanishaurje . Nawaza nursing labda itakubali ingawa nilitaka clinical ofisaOk.. ila unajaribu tu huwezi jua zari lako
Duh...! kwa hyo mara nying huwa wanachaguliwa wenye One..etMwaka jana walichukua cut off ya point 17 ambayo ni div 1. Mimi nina div 2 pt 20. unanishaurje ( ni mwaka jana). Nawaza nursing labda itakubali ingawa nilitaka clinical ofisa
Inavyoonysha. Watu hawaendi form five tena, wanakimbilia vyuo. tufanyeje, labda nursing watu hawaipendi sana hasa wanawake.Duh...! kwa hyo mara nying huwa wanachaguliwa wenye One..et
Kweli kabisa, hata me naona hivyo.. maana dvn 1 au 2 inabidi waende five.. sasa siku hz wanajazana COInavyoonysha. Watu hawaendi form five tena, wanakimbilia vyuo. tufanyeje, labda nursing watu hawaipendi sana hasa wanawake.
Inavyoonysha. Watu hawaendi form five tena, wanakimbilia vyuo. tufanyeje, labda nursing watu hawaipendi sana hasa wanawake.
Kama usipojali soma nursing,ina shavu kuliko CO[/QUOT
Kwa vipi ina shavu , mbona CO ndiyo inapendwa. Lakini kama ulivyosema, nursing competition siyo kubwa kama CO. Poa!
Kama usipojali soma nursing,ina shavu kuliko CO
Ina shavu kuliko CO kivipi wakati diploma zote serikalini mshahara ni sawa
Pia kwa level ya degree daktari analipwa almost milioni na nusu basic while nurse milioni moja
Hilo shavu la nurse vs clinical officer ni lipi?