Msaada wa chumba cha kupanga

kapsuz

Member
Jan 9, 2013
19
4
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya sayansi mpaka victoria kijitonyama
sifa za chumba ni:-
1. Iwe chumba na sebule self contained na jiko, maji na umeme.
2. Ndani ya fensi (sio lazima sana)
3. Pawe na uwezo wa kufika gari mpaka kwenye nyumba
4. Karibu na barabara na usalama uwepo
5. Bei kuanzia 150,000/= mpaka 200,000/=.
Mwenye kujua chochote ani PM tutawasiliana. Hata sehem ingine yeyote ya barabara hiyo ili mradi iwe nzuri na karibu na barabara.
 
Wakati fulani niliwahi kufikiria kuanzisha online platform ambapo watu wangeweza kuweka nyumba na vyumba vya kupangisha ili kwa mhitaji wa chumba apite hapo na kuchagua anachohitaji, lengo kuepusha usumbufu wa kuzunguka mitaani kutafuta chumba cha kupanga. Labda tuwaombe moderators wa JF watuwekee jukwaa la namna hiyo kwa sababu naamini wahitaji wa huduma hii ni wengi sana kwa kuzingatia hadhira ya JF. Ipo mitandao currently inayotoa huduma kama hiyo ila ni kwa majumba expensive sana sio hizi zetu za Tabata na Sinza (Maisha yetu ya kawaida).
Tujaribu kuliweka hili wazo vizuri tupate huduma hii hapa JF.

Cc; Buchanan, Maxence Melo, Invisible
 
Last edited by a moderator:
wazo zuri sana mdau, yani kusaka chumba ni tabu muda nao hakuna na madalali nao ni uhuni mtupu
 
Wakati fulani niliwahi kufikiria kuanzisha online platform ambapo watu wangeweza kuweka nyumba na vyumba vya kupangisha ili kwa mhitaji wa chumba apite hapo na kuchagua anachohitaji, lengo kuepusha usumbufu wa kuzunguka mitaani kutafuta chumba cha kupanga. Labda tuwaombe moderators wa JF watuwekee jukwaa la namna hiyo kwa sababu naamini wahitaji wa huduma hii ni wengi sana kwa kuzingatia hadhira ya JF. Ipo mitandao currently inayotoa huduma kama hiyo ila ni kwa majumba expensive sana sio hizi zetu za Tabata na Sinza (Maisha yetu ya kawaida).
Tujaribu kuliweka hili wazo vizuri tupate huduma hii hapa JF.

Cc; Buchanan, Maxence Melo, @invicible

wazo zuri ila utaziba riziki za watu wengi (madalali) mkuu
 
Mitaa ya sinza c naweza pata chumba kiwe self contained au single ya kawaida gharama isizidi laki moja
 
riziki yao itabaki pale pale.Na hii itasaidia sana kwa wa madalali kufanya kazi zao kwa uadilifu maana kutakuwa na ushindani. watapunguza utapeli
 
Ipo mikochen pale maeneo ya dolphin,
nyumba ya chumba kimoja na sebule,
choo cha ndani na parking ya gari mbili,jiko,
na ki garden kwa nyuma.
tsh. 250,000/= per month.
if interested holla back: 0715547184
 
sinza single chini ya laki moja utapata kizuri tu
oya nimeenda SINZA Madalali wananionesha vyumba vya laki moja vipo ovyo tu nami nilitegemea kizuri.Cjui jamaa wanadhani hela ipo sana au sijui kwa sababu kipo karibu na the law school.
 
Kuna vyumba ubungo maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
 
Kuna vyumba ubungo maziwa..self ni vipya full tiles..maji na umeme...garI inaingia na uzio upo..ila hatakiw mtu awe na familia as chumba ni kimoja
mkuu Yaani hicho kingekuwa SINZA ningekuja kesho saa kumi na mbili asubuhi bwana
 
Bei ni 100000...ni karibu kabisa na barabara ya lami ya ubungo maziwa...karibu na stand ya train..karibu na ubungo terminal.....mwenye hitaji anipm
 
Back
Top Bottom