Msaada wa audio au video ya Shekhe aliyetoa dua uzinduzi kampeni Jangwani

stineriga

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
2,172
886
Kama kichwa cha habari kinayojieleza hapo juu, naomba mwenye audio au video wa ya kipande hicho cha huyo shekhe, alipiga dua ya ukweli sana.

Piiiipooooz

Haaaaki
 
nami pia naihitaji,nafikiri hata wapambe mihogo akina Mr Chin na jingalao wanaihitaji waondoe laana vichwani mwao
 
Last edited by a moderator:
Google kwenye YouTube please

mtu kaomba awekewe hapa kila atayeutaka aupate, kiherehere cha kumwambia mtu agoogle ?? Mnakera sana, mtu anapoomba msaada anamwambia agoogle. Mwajuma ndalandefu toka umeijua google imekuwa shiida. Unafikiri mtu hajatafuta huko google na youtube na kuukosa? Unafikiri kila simu ina uwezo wa ku.youtube?
 
Ile dua ilikuwa balaa. Shehe kasema mpinzani wa Lowassa afe kwa kansa ya damu
Hakusema hivyo Shehe alisema atakayejaribu kuingia madarakani kwa hila au dhuluma
Mungu ampe gonjwa baya la kansa ya damu.
Na atakayeshiriki kuziiba kura za LOWASSA Mungu ampe gonjwa la kuziba mirija ya mkojo.

Hahahaha! Chezea UKAWA wewe hiyo ndio Duaa na ni lazima itakua hivyo ccm wajipange.
 
Watapona hao wakijani kweli!!hatari tupu.
 
Hakusema hivyo Shehe alisema atakayejaribu kuingia madarakani kwa hila au dhuluma
Mungu ampe gonjwa baya la kansa ya damu.
Na atakayeshiriki kuziiba kura za LOWASSA Mungu ampe gonjwa la kuziba mirija ya mkojo.

Hahahaha! Chezea UKAWA wewe hiyo ndio Duaa na ni lazima itakua hivyo ccm wajipange.
Haikuwa Dua ila ilikuwa laana
 
Mwenye video au link ya uzinduzi wa kampeni ya ukawa basi nidowload mwenyew au aniweekee video hapa. Halafu mwenyewe nita extract audio kwa video hiyo. Plz

Ocampo four TEAM lowassa Tumaini Makene
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom