msaada wa archtecture | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa archtecture

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sop sop, May 27, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 647
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  jaman nahitaj kusoma hiyo facult ila cjui kuchora kabisaaaaa sasa naomben ushair wakuu kama itawezekana
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Kama hujui kuchora ckushaur,bora ujikalie pemben 2.over
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ulikimbia FINE ARTS?yaani hili somo hata kama hujui kuchora,ukipata mwalimu mzuri basi unakuwa na msingi mzuri BUT talanta ina nafasi yake!
   
 4. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama unaipenda hiyo fani utaweza tu.wanafundisha kuanzia kwenye first principles.ila inataka uwe na hobby nayo sana kwa maana kuna kitu wanaita studio mnapewa kazi za kuchora na kutengeza models usiku kucha yaani kukesha kwa sana.ni fani ambayo kama hauipendi itakushinda tu.naijua vyema.jipange tu utaweza
   
Loading...