Relationship officer kwenye taasisi gani?Habari zenu wana jamvi, jamani naombeni kusaidiwa maswali yanayotoka kwenye mtihani wa written interview katika kada ya Relationship Officer tafadhali.
Nawakaribisha wanajamii wenzangu tupeane uzoefu hapa kwenye hii thread karibuni sana.
Mzee funguka kikamilifu ukiwa unahitaji msaada,Mods naomba muongeze apo kwny heading isomeke msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya relationship officer-bank
Mzee funguka kikamilifu ukiwa unahitaji msaada,
Kusema Bank tu haitoshi,
Je ni Bank gani!?
Usihofu kwa kuogopa kutaja Bank labda unahisi kua nafasi yako itachukuliwa kwa kuweka wazi kua ni Bank gani!!!!!
Binafsi nimewahi fanya written interview kwenye Bank tatu tofauti, na zote zilikua ni tofauti kabisa, wala zilikua hazifanani
Inawezekana wadau wanachelewa kujibu hii thread kwa kua haijakaa wazi,
Maana ili mtu akuulize kwanza maswali ndio ajue anakujibuje
Sent using Jamii Forums mobile app
Accessbank mkuu
Hapo Access wanakupima katika uwelewa wa kawaida tu,Accessbank mkuu
Ndio mnaenda kufanyia Donbosco Oystebay au?Hapo Access wanakupima katika uwelewa wa kawaida tu,
Angalau uwe una fahamu wa hesabu za O-LEVEL,
All the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Bravo..Nilifikiria Relationship Officer Equity BankAccessbank mkuu
Hapo Access wanakupima katika uwelewa wa kawaida tu,
Angalau uwe una fahamu wa hesabu za O-LEVEL,
All the best
Sent using Jamii Forums mobile app