MSAADA WA AJIRA

grandMullah23m

JF-Expert Member
Mar 9, 2017
235
311
Natanguliza shukrani wakuu;mimi ni kijana wa kiume umri wa 23,natafuta ajira yoyote ya halali nina astashahada ya business administration,na cheti cha computer application packages.Mimi ni fast learner,nina uzoefu wa kuridhisha kutumia excel,niko dar.mawasiliano;0653229608
 
Back
Top Bottom