GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Mm naitwa salum ally nipo dar nina miaka 27 nimeoa na nina mtoto mmoja nimeitimu stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and logistics management ) kutoka Tanzania institute of accountancy 2012 baada ya kuitim nikakawa najitolea kwenye taasisi za umma kutoka 5/2012-10/2015 kama temeke na daily news lengo likiwa kupata uzoefu ili niwe tayar kuingia kwenye soko la ajira pamoja na kuajiliwa katika taasisi hizo, ila hali imekua tofaut ajira kwa taasisi hizo hawana mamlaka ya kuajili hivyo nikaamua kuacha mwaka jana maana uzoefu wa kutosha nilisha pata ambao ni zaid ya miaka mitatu
Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira ya kudumu ya muda mfup au hata internship nk anisaidie nina uzoefu wa zaid ya miaka mitatu na nina uelewa mkubwa katika
-Storekeeping
-Inventory controller
-Logistics assistant
-Procurement assistant
Au kazi yeyote ambayo ya ofsini na inaelezeka naweza kufanya
Nimewah kuomba ajira za utumishi na kuitwa kwenye usaili hatua zote yaani kuandika na mahojiano kwa zaid ya mara mbili ila huwa sijuh kinafuata nn
Najua kutumia computer program zote za muhim katika kazi yangu
Kwa mawasiliano zaid kwa yeyote mwenye msaada 0716671919
0686541414
Nipo tayar kufanya kazi popote tanzania