Msaada wa activation

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Nimesakinisha WinXP Pro SP2 kwenye mashine moja nzee hivi, Dell Latitude. Sasa hiyo kopi niliyosakinisha ilikuwa ni kwa ajili ya akiba (backup) ya mashine za HP Compaq.

Usakinishaji ukafanikiwa, ila inadai kuamilishwa. na hapo ndipo ninashindwa kwani inakataa kutambua product key.

Nafanyaje ili uamilishaji uwezekane?

****Mtanisamehe kwa kutumia Kiswahili.
Lugha ya mama tamu,
Kama titi la mama,
Haiishi hamu.
 
hapo itakuwa product key zako sio valid, kwa ushauri usitumie SP2 just use xp ya kawaida cos mashine yako haitambui updates za SP2 cos ni ya zamani
 
product key zako sio valid

sawasawa kabisa, ila ninahitaji ujanja mwingine zaidi ya kuitoa, nina vijisiku kama 10 hivi kabla haijaanza maringo.
 
Back
Top Bottom