Msaada wa Act, Amendment and/ case law kuhusu a qualified Doctor kujaza Pf3

Jan 12, 2015
65
125
Nahitaji msaada wa Act, amendment, au Case law ambayo inatoa qualifications za Daktari ambaye anaruhusiwa kujaza pf3 and/or postmoterm. Maana huku nilipo Clinical officers wengi ndiyo wanaojaza pf3 na kisheria hawaruhusiwi. Kwa sasa Daktari mwenye Cheo kuanzia AMO na kuendelea ndiyo wanaruhusiwa lakini sijajua which law, amendment au Case law ipi imetoa hizo qualifications. Pleese naombeni msaada.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom