MSAADA: Vyuo vya nje wanavyotoa admission bila kua na passport

ANKO JEI

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,278
2,364
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha uzi, naomba kupewa majina ya vyuo ambavyo ni vya Ulaya, Asia au America wanavyotoa admission kwa Overseas students bila ulazima wa kujaza namba ya passport.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha muhimu hapo wewe ni kutafuta paspot maana hata ukipata chuo paspot ni lazima. Usipoteze muda tafuta passport kwanza mwanawane
 
Kwa jinsi wabongo walivyo! Kila mtu angekua na passport nadhani hapa dar tungebaki watatu tu. Wote wangekimbia nchi.
 
Cha muhimu hapo wewe ni kutafuta paspot maana hata ukipata chuo paspot ni lazima. Usipoteze muda tafuta passport kwanza mwanawane
Yani natafuta chuo ili nipate ile admission latter kisha niambatanishe kama uthibitisho wa safari katika kuomba passport kua naenda kusoma nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom