Msaada: Vulcanizer ana-deal na nini na kazi zake ni zipi?

euca

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
3,797
4,163
Habari za jioni wadau,nimatumaini yangu muko poa .
Leo pitapita zangu katika mtandao wa Zoomtanzania nikakuta tangazo la kazi katika kampuni Fulani kuwa anahitajika VULCANIZER.

So swali ni kwamba huyu vulcanizer anadeal na nn hasa au kazi take n nini na hyo kampuni ni ya transport and logistics network .
 
Back
Top Bottom