msaada VLC imenisaliti!


N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
nilikua naiaminia hii vlc kwa kuplay video format nyingi lakini leo nashangaa nikiplay video inakatakata sijabadilisha settings zozote zile msaada tafadhali....
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,004
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,004 280
nilikua naiaminia hii vlc kwa kuplay video format nyingi lakini leo nashangaa nikiplay video inakatakata sijabadilisha settings zozote zile msaada tafadhali....
try kui upgrade labda..
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,022
Likes
11,967
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,022 11,967 280
Re-Install or Restart PC
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
@ndetichia
iko updated!


 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
103
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 103 160
We unajua tofauti ya ku-Upgrade na ku-Update? au unaongea tuu.
Haya maneno yanaweza tumika interchangeably.

Nna ver 2.0.4

View attachment 73357

sasa naomba untaftie hiyo ambayo ipo upgraded

VideoLAN - Official page for VLC media player, the Open Source video framework!
Sawa umesema hupendi kurestart computer,lakini muda uliotumia mpaka sasa hivi si ngekuwa umeishajaribu ukaona kama umefix tatizo lako au la ndugu yangu.

Au kama ungere-install si tayari ungekuwa umeishafix tatizo lako?!

Anyway,ni mtazamo wangu tu na sio lazima uufanyie kazi.
 
Kwetu Iringa

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
359
Likes
15
Points
0
Age
30
Kwetu Iringa

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
359 15 0
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
Ku-upgrade inabidi ununue, ku-update ni free. Unataka nikununulie?
we b*y* kweli usikariri eti ku-upgrade ni kununua sasa aliyekwambia VLC inauzwa nani? hii ni open source media player haiuzwi kama huwa unawadangaya watu huko kwenu iringa et ku-upgrade ni kununua umekosea... au tatizo ni kingereza basi ungenambia BUY sio upgrade kama huna la kuchangia :shut-mouth: ...
 
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,019
Likes
9
Points
135
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,019 9 135
Lakini hii kitu huwa inajitahidi sana na ni commando ila kuna baadhi ya files ambazo ikicheza inaanza kwa kuScratch mfano ile video ya Wildlife ambayo iko attached with windows 7 hebu mjaribu mwone
 
deojames

deojames

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
328
Likes
57
Points
45
Age
30
deojames

deojames

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
328 57 45
we b*y* kweli usikariri eti ku-upgrade ni kununua sasa aliyekwambia VLC inauzwa nani? hii ni open source media player haiuzwi kama huwa unawadangaya watu huko kwenu iringa et ku-upgrade ni kununua umekosea... au tatizo ni kingereza basi ungenambia BUY sio upgrade kama huna la kuchangia :shut-mouth: ...
remember open source software si maana yake ni free, inaweza kuuzwa, open source maana yake unaruhusiwa kuview source code.
 
deojames

deojames

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
328
Likes
57
Points
45
Age
30
deojames

deojames

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
328 57 45
try to uninstall then install again or go to tools>preference and click reset preference
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
remember open source software si maana yake ni free, inaweza kuuzwa, open source maana yake unaruhusiwa kuview source code.
uko sawa kabisa lakini VLC haiuzwi ingawa ni open source. Nime reset preferences lakini cjafanikiwa sasa nna reboot.
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
SOLVED: Baada ya kurestart pc :A S thumbs_up:
 
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
1,703
Likes
103
Points
160
Mrimi

Mrimi

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
1,703 103 160
SOLVED: Baada ya kurestart pc :A S thumbs_up:
Mkuu unakumbuka post no.3,na ulivyojibu kwenye post yako no.5?
Sio kila kitu unabisha ndugu yangu,ndio maana ukaomba msaada kwa wadau hapa.
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
31
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 31 145
Mkuu unakumbuka post no.3,na ulivyojibu kwenye post yako no.5?
Sio kila kitu unabisha ndugu yangu,ndio maana ukaomba msaada kwa wadau hapa.
Mrimi cjakataa nlisema huwa cpendi ku-restart
 
Last edited by a moderator:
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
2,979
Likes
1,555
Points
280
kizaizai

kizaizai

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
2,979 1,555 280
VLC Media Player skinned, iko poa sana.
 

Forum statistics

Threads 1,236,624
Members 475,218
Posts 29,264,755