Msaada; "Virgin Olive Oil" ndo mafuta gani ya kupikia hapa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; "Virgin Olive Oil" ndo mafuta gani ya kupikia hapa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kagalala, Mar 9, 2012.

 1. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Wadau naomba msaada wenu. Nimekuwa nikijaribu kutafuta mafuta ya kupikia ambayo wazungu wanaita "Virgin Olive Oil" nashindwa kujua kama hapa kwetu Tanzania yapo na kama yapo ndo yanaitwaje kwa kiswahili na yanapatikana wapi. Mafuta haya wanasema ni mazuri kwa afya na hayana colestral. Naomba msaada wenu.
   
 2. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kama uko Dar, sijui jina la kiswahili ila kama shida ni kupata olive oil, nenda mlimani city au shoppers utayakuta. Bei iko juu ya mengine.
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Asante Mzawa Halisi. Nadhani kwa kiswahili hatuna mafuta kama hayo ila itabidi nifanye utaratibu wa kuyafuata Mlimani City. Inaonekana hayapatikani kwa Mangi.
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Ni vizuri uangalie kama waweza yahimili bei zake siku zote ili usibadilishe mara kwa mara. Hata Sun drop na ni mengi nasikia ni mazuri. Labda kama sio kweli.
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  yako mengi mlimani city, mimi huwa natumia kupaka mwilini na usoni pia, very nice kama hutaki kutumia vipozi vyenye kemikali, make sure ni extra virgin olive oil.
   
 6. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Olive = Zaituni
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Umepatia mwana wane.
   
 8. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Yapo karibu kwenye supermarket zote hapa bongo,ni mafuta ya kula wenyewe wanasema hayana rehemu,ni mafuta ya matajiri bei yake ni aghari,mpwa nunua mafuta ya alizeti kutoka Singida au Mbeya au Iringa karibu ni sawa kasoro hayo ya alizeti yana harufu hivi si unajua mambo ya viwango tena
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  yapo supamaket, hakikisha ni extra virgin olive oil, yapo brand tofauti tofauti, cheki shoprite, imalaseko utapata
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Olive oil zipo kila mahali mpaka maduka ya dawa ila VIRGIN olive oil ni ya kutafutatafuta
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  virgin olive oil na hata extra virgin olive oil zipo karibu supermarket zote hapo dar na morogoro. bei ni kama 16,000/= kwa virgin oil na 18,000/= kwa extra virgin oil. kuwa mwangalifu kwani nyingine ni feki.
   
 12. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu olive au virgin ndiyo inakuchanganya si mawese hayo au seriously haujui .
   
 13. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yapo kwa super market nyingi tu mkuu na bei yake ni kuanzia 8,000 hadi 10,000TShs kwa nusu lita na mazuri ni yanayo toka Italy au Spain.
   
 14. b

  brian360 JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2016
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  nataka kujua mpaka sasa bei ni hiyo hiyo?
   
Loading...