Msaada vipimo vya DNA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada vipimo vya DNA!

Discussion in 'JF Doctor' started by JOHNKEKE, Oct 17, 2012.

 1. J

  JOHNKEKE JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Wanajamvi kwa wenye uelewa wa mckakato wa kupima DNA pls, nielimisheni.
  Nina mke na watoto watatu. Tumekubaliana na mke wangu tukapime kwa ajili ya uhakikisho wa watoto.
  Please, yeyote anaye jua procedures na amount of fees, mtujuze.
  Makazi yangu kwa sasa ni Mwanza.
  Natanguliza shukrani
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  kabla ya kupima mumeshakubaliana na matokeo, jee umejipimaje na majibu! ikitokea hapo kuna ambae siwakoje???
   
 3. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,196
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mh, kuna watu wana roho ngumu jamani. Anyway, nenda pale Bugando mahabara, wanafanya hii kitu
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,395
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mkuu ata wewe una jiwe, unamwagizia mwenzio wapi sasa?
  Anataka kwenda kuangalia vinasaba vya yai kama ni mtetea au jogoo wakati mayai yashaatamiwa na vifaranga vimeshatotolewa?
   
 5. n

  nlambaa JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bro acha hiyo kitu, mtaisambaratisha hiyo ndoa, umesahau methali yetu kitanda hakizai haramu au unauhakika mambo yako sio mazuri?
   
 6. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama uko Dar nenda ofisi ya Mkemia Mkuu wa serikali pale Ocean Road,nadhani ni 300,000/=per test.
   
 7. Kitumbo

  Kitumbo JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ila ujiandae hutopewa majibu sahihi kwa ustawi wa watoto. ikionekana mmoja si wako hutoambiwa kwa sababu atakosa matunzo. majibu sahihi hutolewa pale tu wanaume wawili wanagombania mtoto lakini kama wewe unataka kujua wako au si wako jibu ni lazima liwe wako tu!
   
 8. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,055
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Heshim kitanda weye............ na kwa nini unaitwa Baba watoto na huku hujiamini???
   
 9. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,343
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  anawasiwasi kuwa mke wake alikuwa anafanya vikao vya harusi na RPC mpaka saa saba usiku,!!
   
Loading...