Msaada: Vigezo vya kujiunga na Certificate in Law at UDSM

Queen Horse

JF-Expert Member
Sep 12, 2013
414
316
Salaam alaykum wanajukwaa....naomba msaada wa kuelekezwa vigezo vya kujiunga kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti at udsm, gharama na namna ya kupata admission zake.. shukrani sana
 
hivi University of Dar es salaam wana ngazi ya cheti?
au wameanzisha karibuni?
ngoja waje
 
Back
Top Bottom