Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 316
Salaam alaykum wanajukwaa....naomba msaada wa kuelekezwa vigezo vya kujiunga kozi ya sheria kwa ngazi ya cheti at udsm, gharama na namna ya kupata admission zake.. shukrani sana
diploma hawana?IPO MKUU KTK IDARA YA SHERIA NA ICT ILA VIGEZO NI UWE NA angalau CREDIT3 NA 2Ds
diploma yao wanahitaj vigezo gan na ada vipIPO PIA ZA HIZO KOZI NILZO ZILIST