Msaada: Vifaranga wangu wanaharisha kinyesi kilichochanganyika na damu

Vitacoxy nzuri sana wangu walikuwa wanakunya kinyesi chenye damu na wanashusha mabawa nikawapa vitacoxy now wapo vizuri
 
hiyo ni coccidiosis, tafuta dawa zenyw sulpha mfano amprolium, triple sulpha, anticox etc
Amprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.
 
Jaman nimekuwa nikifatilia sana post zenu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji , natamani sana na Mimi kuanza huo mradi lkn sijui ntajengaje banda yani linaniumiza kichwa sana naombeni mnisaidie wana JF , na kingne nataka kuanza na kuku tetea 20 na majogoo 3 hivi inaweza kunielewa gharimu shilling ngapi? Naombeni mnisaidie
 
Tafuta ma group ya ufugaji WhatsApp utajua kila kitu
 
Amprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.
unachobisha kuwa haitibu huo ugonjwa? tumia busara kuelewesha
 
  • Thanks
Reactions: etb
Amprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.
Yuko sawa amprollium ni dawa sahihi kwa Kuku kuhara damu....
 
Back
Top Bottom