Msaada: Vifaa vya Gari-Honda CRV

Hapo Rukwa mjini Nenda pale karibu na sokoni kuna duka la spear za magari limeandikwa Gulf Auto spare mwenye duka ana gari km yako muulize spare ananunua wapi atakuelekeza.
 
Back
Top Bottom