Msaada uvimbe kwenye njia ya haja kubwa

B

BizKid

Member
Joined
Mar 28, 2019
Messages
16
Points
45
B

BizKid

Member
Joined Mar 28, 2019
16 45
Ndugu...
Wanajamii Forum naomba msaada wa kujua nini kisababisha mtu anapata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa na kupelekea kupata maumivu wakati wa kujisaidia na nini tiba ya huo ugonjwa?
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,275
Points
2,000
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,275 2,000
Huo ugonjwa unaitwa Bawasiri, mara nyingi hua unasababishwa na mtu ambae hupendelea kubana haja kubwa kwa muda mrefu au kupata haja kubwa ngumu na kwa shida (kwa kujikema/kujilazimisha kwa nguvu).

Una tiba zake za kihospitali (dawa), pia tiba za nyumbani mtu anatakiwa apendelee kula matunda sana (hasa Papai), juisi na maji kwa sana ili haja kubwa iwe laini pindi anapojisaidia. Na asiache siku mbili zipite bila kupata haja kubwa (ikipita siku mbili hua haja inakua ngumu).

Tiba ikichelewa husababisha mtu kutoa haja kubwa yenye damu nyingi, uvimbe kuongezeka na kumpelekea mtu kufanyiwa operation.
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
7,077
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
7,077 2,000
Ndugu...
Wanajamii Forum naomba msaada wa kujua nini kisababisha mtu anapata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa na kupelekea kupata maumivu wakati wa kujisaidia na nini tiba ya huo ugonjwa?
picha please tuone
 
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Messages
8,898
Points
2,000
PROF NDUMILAKUWILI

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2016
8,898 2,000
Ndugu...
Wanajamii Forum naomba msaada wa kujua nini kisababisha mtu anapata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa na kupelekea kupata maumivu wakati wa kujisaidia na nini tiba ya huo ugonjwa?
nenda hospitali wakakufanyie upasuwaji wa huo uvimbe?
 
gunah

gunah

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Messages
111
Points
225
gunah

gunah

Senior Member
Joined Feb 15, 2019
111 225
Ndugu...
Wanajamii Forum naomba msaada wa kujua nini kisababisha mtu anapata uvimbe kwenye njia ya haja kubwa na kupelekea kupata maumivu wakati wa kujisaidia na nini tiba ya huo ugonjwa?
Dawa hiyo hutajutia kutumia hii dawa
Njoo PM kwa mawasilian zaidi
img-20190916-wa0045-jpeg.1209406
 
LexPaulsen

LexPaulsen

Member
Joined
Jul 30, 2018
Messages
99
Points
150
LexPaulsen

LexPaulsen

Member
Joined Jul 30, 2018
99 150
Hermorhoids aka Bawasiri, ni mishipa ya anus ikipata mshtuko inavimba au kupasuka. Kama ulibeba kitu kizito huku umebana pumzi kwa kutumua tumbo au umebadilisha namna ya kukaa/chutama ghafla ni mojawapo ya sababu, sio ugonjwa wala maambukizi.

Mara nyingi siku za mwanzo inakuwa na maumivu makali sana ukikaa au ukitaka kijisaidia ila baada ya cku chache inaisha na kuondoka yenyewe kwa dawa za maumivu na vyakula laini. Nlipataga hii kitu ilibidi nichukue leave ofisini mana kukaa ni vita.

Ukiona siku chache zimepita hakuna nafuu nenda kaone daktari, wengne wanafanya minor surgery kuondoa kile kinyama ila huwa sio wote unless imeshindikana kupona.
 
Forum statistics

Threads 1,334,598
Members 512,060
Posts 32,480,938
Top