Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Kitaalam Kuna ile Hali ya damu kuganda fasta,
Yaan ukidindisha afu ukakatisha, damu inang'ang'ania Kwenye kuta za mirija yanuume na kuganda.

Damu Hii inaziba mzunguko wa damu nyngn kuja na kuzunguka Kwenye uume mzima ili uweze kumantain erection.

Hivyo kufanya mzunguko mdogo wa damu Kwenye uume kua mdogo. Hivyo erection kua ya tabu Sana.

Na hata ukibahatisha ikasimama Basi huwezi kumantain kwa MDA mrefu.

Hizi dawa jamii ya sildenafil citrate (jamii ya ERECTRO, Viagra,Njoi n.k) hufaya kuidilute damu kwa MDA flani ili iwe nyepesi hivyo kuongeza mzunguko wa damu Kwenye vikuta vyembamba pembe zote za uume.

Kwaiyo,
Unaweza kuta akimeza na akaweza kuzibua mirija na kumantain, anaweza kuendelea naturally kama kawaida.
Oooh kumbe hii unaeza kunywa yeyote just kuboost ili uregulate erection to its normal state.......
 
Sawa...sema napo uchepuke ukijua upo frsh....sio ushamvua mchepuko halaf mashine inalala yoyoooo
Kama mpaka huko ni hivyohivyo basi atakuwa na tatizo au anakumbwa na woga/wasiwasi ambao usipoweza kujicontrol huwezi kula mbunye
Na unaweza ukadhani una shida kubwa kumbe ni woga tu unasumbua
 
Oooh kumbe hii unaeza kunywa yeyote just kuboost ili uregulate erection to its normal state.......
Ni normal kumeza,
Ata porn stars wakiume karibu wote duniani wanameza hizi sana.

Na Sio kwamba eti wanameza kwakua wanamatatizo ya nguvu za kiume. La hasha.

Bali wanameza kujiboost ili wafanye scene zao kwa ufanisi zaidi maana wao kusex Ndo kazi yao inayowaingizia ugali wao wa kila sikU.
 
Ni normal kumeza,
Ata porn stars wakiume karibu wote duniani wanameza hizi sana.

Na Sio kwamba eti wanameza kwakua wanamatatizo ya nguvu za kiume. La hasha.

Bali wanameza kujiboost ili wafanye scene zao kwa ufanisi zaidi.
Ahahahahahaha...ndo maana wengi wa wanaocheck porn wanaonaga kama wana mashine ndogo kulinganisha na wanazo ziona kumbe majamaa yamejiboost mamaaeeeee..kikubw ani tujioamini tu na kuondoa uoga na kukubaliana na ulicho nacho kwamba ndo size yenyewe.
 
Kitaalam Kuna ile Hali ya damu kuganda fasta,
Yaan ukidindisha afu ukakatisha, damu inang'ang'ania Kwenye kuta za mirija yanuume na kuganda.

Damu Hii inaziba mzunguko wa damu nyngn kuja na kuzunguka Kwenye uume mzima ili uweze kumantain erection.

Hivyo kufanya mzunguko mdogo wa damu Kwenye uume kua mdogo. Hivyo erection kua ya tabu Sana.

Na hata ukibahatisha ikasimama Basi huwezi kumantain kwa MDA mrefu.

Hizi dawa jamii ya sildenafil citrate (jamii ya ERECTRO, Viagra,Njoi n.k) hufaya kuidilute damu kwa MDA flani ili iwe nyepesi hivyo kuongeza mzunguko wa damu Kwenye vikuta vyembamba pembe zote za uume.

Kwaiyo,
Unaweza kuta akimeza na akaweza kuzibua mirija na kumantain, anaweza kuendelea naturally kama kawaida.
Kwa Nini asianze kumeza punje za vitunguu swaumu na kula matikiti huku akifanya mazoezi ili asolve tatizo daima?
 
Japo uzi naona unawahusu wanaume zaidi ila nami ngoja nichangie kwa uchache kama mdau wa afya, kwanza pole sana ndugu,nimejaribu kusoma comment zote kifupi ndugu hujarogwa wala nini ila ni wewe tu ulizembea zembea kwenda hospital,umesema tatizo lilianza kabla hata hujaoa,na limeendelea kuzidi kadri siku zinavyoenda,na usipopata tiba hali inaweza kuwa mbaya zaidi ya hivi.

Ushauri wangu nenda hospital ukaonane na madoctors wa maswala ya uzazi(Gynocologist) unahitaji vipimo vingi ili kuweza kujua shida ni nini hasa,kupata watoto si solution,unaweza kuwa na tatizo la libido lakin ukawa na mbegu bora basi once mshindo ukapatikana na mama akawa yuko vizuri uwezo wa kutunga mimba upo kabisa,na hasa sperm yenyewe ikiwa na uwezo wa kukimbia vizuri(sperm mobility),na vile vile unaweza ukawa unapiga game vizuri show za kibabe tu lakini kumbe mbegu zikawa hazina ubora wa kutungisha mimba ,unatoa tu shahawa ambazo hazina kitu,sasa haya mambo yanategemeana uwezo wa kupamp,mbegu kuwa bora inategemeana na vitu vingi kuna mambo ya kiafya yaani hormones,usukumaji wa damu,viungo husika vyenyewe,mashambulizi ya magonjwa km vijidudu,sukari,presha n.k, na kuna masuala yanayohusisha ubongo pia,kama ubongo hauko katika hali nzuri taarifa zinapelekwa huko kny viungo husika kwahiyo ushirikiano hauwezi kutokea.Inahitajika akili njema na ubongo kutulia ili kuweza kufanya kazi yake vyema.

Kadhalika kuna swala muhimu sana linalohusiana na nini unaingiza katika mwili wako,yaani nini unakula,nini unakunywa? Nini unavuta? Chakula ni sumu na dawa kubwa katika mwili,vinywaji navyo ni sumu na tiba katika mwili wako,kuna swala la hewa pia,nini hewa gani unazovuta, hivi vyote ni muhimu sana kuangalia na moja kwa moja vina athari kubwa mbalimbali katika afya yako ikiwemo swala hili pia. Ulaji wa vyakula vya mafuta sana na viwandani vina athari kubwa katika swala hili,vyakula ambavyo ni too acidic huathiri swala hili,unywaji wa pombe kupitiliza,uvutaji sigara,bangi,madawa ya kulevya yanaathiri pia sana mfumo huu,hewa chafu zilizobeba sumu nazo zinaathiri mfumo huu. Inabidi ujichunguze kwa makini sana life style yako ni ipi? Kuchoka sana,kukosa muda wa kupumzika,kuwa stressed vyote vinachangia sana kuharibu mfumo mzima wa uzazi.

Tatu naona wengi wanamlaumu mama kwamba hana ushirikiano,sasa ngoja nikwambie akili za wanawake wengi tulivyo kwa kweli ukininyima game najua kabisa umetoka kugawa game mahali,so mama lazima awe na makasiriko,hasa anapotaka kutumia muda na wewe na ww humpatii,basi huunganisha dot ya vitu vingi vingi mno na kujipatia jawabu mwenyewe na kubaki katika hisia mbaya za bila kufurahi na wewe mwisho kwa akili mbovu na yy anaweza akatafuta option nyingine,ninyi ni wanandoa huna haja ya kumficha mwenzi wako,mwambie hali halisi ya unachokipitia,mwambie jinsi unavyoumia hiyo hali sasa na yy anapokuongezea maneno makali basi unajikuta hata pale ambapo ungeweza basi unajikuta unashindwa kabisa,kwahiyo humfanyii makusudi wala asihisi una mpango wa kando,na muombe muende wote hospital,naamini na nina uhakika ukikutana na daktari mzuri na wewe ukabadilisha mtindo wa maisha utapona fasta tu si chini ya miezi mitatu ukitumia dawa vizuri kabisa na kufuata ushauri wote,utapona na mtainjoi maisha sana,kikubwa na kumuomba Mungu yeye ndo muwezeshaji wa vyote,wahi hosp kabla hali haijawa mbaya zaidi,nakutakia uponyaji mwema na wa haraka.
 
Ni normal kumeza,
Ata porn stars wakiume karibu wote duniani wanameza hizi sana.

Na Sio kwamba eti wanameza kwakua wanamatatizo ya nguvu za kiume. La hasha.

Bali wanameza kujiboost ili wafanye scene zao kwa ufanisi zaidi maana wao kusex Ndo kazi yao inayowaingizia ugali wao wa kila sikU.
Sema swal langu ni kumeza hivyo vidonge ...sawa vinakuboost
Havina negative side effects kwako???
Maana si unajua hata hii miti shakba unakutaga inafanya kazi kwa muda halaf ndo hvyo unarudi zaidi ya ulipotoka
 
Kitaalam Kuna ile Hali ya damu kuganda fasta,
Yaan ukidindisha afu ukakatisha, damu inang'ang'ania Kwenye kuta za mirija yanuume na kuganda.

Damu Hii inaziba mzunguko wa damu nyngn kuja na kuzunguka Kwenye uume mzima ili uweze kumantain erection.

Hivyo kufanya mzunguko mdogo wa damu Kwenye uume kua mdogo. Hivyo erection kua ya tabu Sana.

Na hata ukibahatisha ikasimama Basi huwezi kumantain kwa MDA mrefu.

Hizi dawa jamii ya sildenafil citrate (jamii ya ERECTRO, Viagra,Njoi n.k) hufaya kuidilute damu kwa MDA flani ili iwe nyepesi hivyo kuongeza mzunguko wa damu Kwenye vikuta vyembamba pembe zote za uume.

Kwaiyo,
Unaweza kuta akimeza na akaweza kuzibua mirija na kumantain, anaweza kuendelea naturally kama kawaida.

Acha kudanganya umma mkuu. Damu huwa haigandi kwenye sehemu yoyote ile ya mwili, na endapo ikitokea hivyo basi hiko kibonge cha damu kitarudi kwenye moyo au mapafu na huko kitakusababishia matatizo makubwa ya kiafya ikiwemo kifo endapo hakitatolewa ama kuyeyushwa kitaalamu.

Kumbuka damu inazunguka kupitia mishipa ya damu, ateri na veini. Na damu lazima irudi kwenye moyo na mapafu kutoka sehemu zingine za mwili ili kuwezesha ubadilishanaji wa hewa za O2 na CO2.

Mechanism of action ya viagra ni kwamba ukiwa sexualy aroused basi inafanya mishipa ya damu ya uume ipanuke zaidi hivyo damu inaongezeka kwenye mzunguko na pia mishipa inakuwa kama iko paralyzed hivyo utachelewa kupizi sababu ya decreases sensation.
 
Washa taa wakati wa tendo.badilisha mikaao acha kua mkimya .mkande na majimoto huko chini akiwa analalamika kunakitu kitatokea.
 
Kingine mtoa mada ajaribu kua anakunywa maji mengi Sana kabla hajasex.

Maji mengi Sana mwilini yanasababisha kuidilute damu kwa kiwango kikubwa mno.

Mwili unapokua mkavu Sana Hata erection inakua ya tabu Sana, maana damu haipenyi saw sawa.

Pia ile Hali ya kubanwa mkojo wakati wa kusex hufanya mwanaume aweze kusex MDA mrefu zaidi.

Pia,
ukinywa Maji mengi Sana hupoza kichwa Cha uume, hivyo uchelewa kumwaga.
Kichwa Cha uume kikipata Moto Sana, uchelewi kumwaga.
(Ndo maana wengine hutumia Njia ya kwenda kunawa uume kila baada ya mda kadhaa wa sex ili kupoza kichwa)

Nowdays,
Wengi sana wanatumia Njia Hii ( ya kunywa Maji mengi) kuchelewa kufika kileleni. {NA MIMI NIKIWEMO}
 
Sema swal langu ni kumeza hivyo vidonge ...sawa vinakuboost
Havina negative side effects kwako???
Maana si unajua hata hii miti shakba unakutaga inafanya kazi kwa muda halaf ndo hvyo unarudi zaidi ya ulipotoka
Swali zuri sana,dawa ni dawa,hasa matumizi holela ya dawa huwa na athari kubwa sana,kama uko katika hali nzuri huna haja ya matumizi ya dawa hizi,maintain tu hali yako ya afya vizuri kwa kuzingatia ulaji mzuri wa vyakula bora na mlo kamili,mazoezi kidogo na kupumzika.
 
Kwa Nini asianze kumeza punje za vitunguu swaumu na kula matikiti huku akifanya mazoezi ili asolve tatizo daima?
Ni njia nzuri na ya asili, ila atachelewa sana mkuu. (6months -2years)

Hili tatizo la jamaa linahitaji Kwanza temporary solution, likitulia Ndo tutafte permanent solution.

Ukiona mwanaume kaleta tatizo lake humu, jua Sio blah blah.

Katingwa mwezetu uyu, Ndoa yake mpaka sasahv iko mashakani.

TUMSAIDIE MWENZETU UYU
 
Sema swal langu ni kumeza hivyo vidonge ...sawa vinakuboost
Havina negative side effects kwako???
Maana si unajua hata hii miti shakba unakutaga inafanya kazi kwa muda halaf ndo hvyo unarudi zaidi ya ulipotoka
Hii inafanya kazi ya kukuboost na kuucondition mwili wako uendane na Hali halisi inyohitajika.

Baada ya Hapo mwili unajiendesha wenyewe.

Nnachokiona kwa mtoa mada Ni Kama gari iliyopakiwa MDA mrefu,
Inahitaji umeme mwingi kuboost betri yake chaji, Kisha ipigwe stata iendelee yenyewe.

Nnachokataa kata kata,
Mtoa mada Hana tatizo la Nguvu za kiume Kama anavyodhani au wengi wabavyodhani.

Anatatizo tu la kuganda damu HARAKA Kwny mishipa ya uume, na probably mtoa mada Sio mnywaji Sana wa Maji.(ana mwili mkavu Sana)

Apo booster Ni sildenafil citrate afu maisha mengine yaendelee
 
Acha kudanganya umma mkuu. Damu huwa haigandi kwenye sehemu yoyote ile ya mwili, na endapo ikitokea hivyo basi hiko kibonge cha damu kitarudi kwenye moyo au mapafu na huko kitakusababishia matatizo makubwa ya kiafya ikiwemo kifo endapo hakitatolewa ama kuyeyushwa kitaalamu.

Kumbuka damu inazunguka kupitia mishipa ya damu, ateri na veini. Na damu lazima irudi kwenye moyo na mapafu kutoka sehemu zingine za mwili ili kuwezesha ubadilishanaji wa hewa za O2 na CO2.

Mechanism of action ya viagra ni kwamba ukiwa sexualy aroused basi inafanya mishipa ya damu ya uume ipanuke zaidi hivyo damu inaongezeka kwenye mzunguko na pia mishipa inakuwa kama iko paralyzed hivyo utachelewa kupizi sababu ya decreases sensation.
Unatumia Nguvu kubwa sana (kupaka paka rangi herufi zako) kuongea usichokua na uelewa nacho.

Kama Viagra zingekua zinatanua mishipa Basi tungepata ata kesi moja ya mtu kupasuka mishipa anapozidisha dozi.

Kuganda kwa damu IPO Sana,
Na kuganda kwa damu sio Lazima iwe mabonge mabonge (stage mbaya Sana ya kuganda kwa damu)

Kuganda kwa damu,
Pia Ni ile Hali damu inakua nzito mithiri ya uji uji hivyo kufanya mzunguko kua mdogo na sehemu nyngn zenye mishipa myembamaba sana damu haifiki.
 
Hii inafanya kazi ya kukuboost na kuucondition mwili wako uendane na Hali halisi inyohitajika.

Baada ya Hapo mwili unajiendesha wenyewe.

Nnachokiona kwa mtoa mada Ni Kama gari iliyopakiwa MDA mrefu,
Inahitaji umeme mwingi kuboost betri yake chaji, Kisha ipigwe stata iendelee yenyewe.

Nnachokataa kata kata,
Mtoa mada Hana tatizo la Nguvu za kiume Kama anavyodhani au wengi wabavyodhani.

Anatatizo tu la kuganda damu HARAKA Kwny mishipa ya uume, na probably mtoa mada Sio mnywaji Sana wa Maji.(ana mwili mkavu Sana)

Apo booster Ni sildenafil citrate afu maisha mengine yaendelee

Hizi statements za "kugandisha na dilute" damu unazotumia unawamislead wenzio mkuu.

Sildenafil haifanyi kazi kwa njia hiyo.
 
Unatumia Nguvu kubwa sana (kupaka paka rangi herufi zako) kuongea usichokua na uelewa nacho.

Kama Viagra zingekua zinatanua mishipa Basi tungepata ata kesi moja ya mtu kupasuka mishipa anapozidisha dozi.

Kuganda kwa damu IPO Sana,
Na kuganda kwa damu sio Lazima iwe mabonge mabonge (stage mbaya Sana ya kuganda kwa damu)

Kuganda kwa damu,
Pia Ni ile Hali damu inakua nzito mithiri ya uji uji hivyo kufanya mzunguko kua mdogo na sehemu nyngn zenye mishipa myembamaba sana damu haifiki.

Acha maneni mengi.

Ukweli ni kwamba damu yote kwenye mwili ni lazima irudi kwenye moyo na mapafu ili kuexchange damu chafu na safi (yenye oxygen na isiyo na oxygen).

Haiwezekani damu ya kwenye penis igande na kubali palepale, ama iwe diluted. Hakuna.

Acha kudanganya watu, unaongea vitu usivyovijua.
 
Viagra ilikuwa inatumika zamani sana kutibu watu wenye shikinikizo la juu la damu(Hypertension) ambalo linasababishwa na mishipa ya damu kuwa narrowed.

Hivyo yenyewe ilikuwa inaenda ku-dilate mishipa hiyo na kuiwezesha damu kuflow kwa urahisi zaidi na kupunguza msukumo mkubwa wa damu.

Mnaowaambia watu Viagra inayeyusha damu iliyoganda ni uongo, acheni kumislead watu.
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
Ulishawahi kutumia hii

Usipite bila ya kusema chochote kama umetumia hii dawa.

NB: DOSE NI CHUPA 1 BEI 20000TSH
TUNAKUFIKISHIA NDANI YA DAR-ES- SALAAM BURE

Poleni sana mnaoteseka na kudhalilika kitandani
Sema neno kwa nini unasababu za kutumia
#halbat_taumu

Kuna sababu million 1 za kutumia #HALBAT_TAUMU

Mke "Anifikishi kileleni mara akipiga moja imelala mara haisimami vizuri"

Ona Aibu pesa tarehe yake tendo

Ukifanikiwa kunywa chupa 1 ya halbat taumu ndani ya 1 week itakupa matokeo mazuri kabisa kama utakunywa dose 2 yaani chupa 2 utamaliza tatizo kabisa naomba nikusaidie kwa kukupatia product yangu ya halbat taumu

TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

Awali natoa pole kwa wote wenye shida hii. Pia wanapa faraja na ufumbuzi wa tatizo hili kupitia product zangu za Asilia kabisa kwa kutibu hii shida..
1.kuwahi kufika kileleni
2.kushindwa kurudia tendo la ndoa
3.misuli kusimama lege lege
4.kutopata manii yakutosha
5.kutokuwa na uwezo wa kumpa mimba mwanamke

dawa no #Halbattaumu toka ofisi zetu zilizo Mkunguni,Manzese.Dar no. sale &suppy +255684-765575

kalibuni wote tunywe kwa AFYA YA UZAZI NA KIUME

HALBAT TAUMU kwa Afya & kinga

FURAHIA USIKU WAKO NA #HALBAT_TAUMU

Mkubwa wa ulingo ni HALBAT TAUMU
Tokomeza tatizo la Nguvu za kiume rudisha heshima kitandani jenga urafiki na HALBAT TAUMU ufurahie tendo la ndoa.

RUDISHA TABASAM LAKO SASA ACHA KUJIOGOPA
BEI 20000TSH
Inapatikana Manzese Mkunguni no. 0684765575
img_1637871431006_1.jpg
 
Back
Top Bottom