Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Kula vizur nivyakula vyakawaida wali ugali chai pia Sina kisukar Wala presha Ila nimeongezeka uzito nna kila75 na mwili wa unene yaan
Una urefu Kias gan,
Kilo 75 mbona ni chache Sana kwa mwanaume.

Mimi Nina 78 ila naitwa mwembamba
 
Msaaada Kama kichwa habari kilivyoeleza hapo juu,

Nina miaka 34, nimeoa na watoto wawili shida niliyonayo ni uume kusimama kidogo Sana na hata kabla ya kuuweka ukeni unalala na siwezi tena hata uume kustuka kusimama.
mkuu njoo tukupatie za mitishamba zikusaidie ktk hilo tatizo
 
Hivi hii libido....kusimamisha tu ndo unaeza sema ni libido....au kuwa hapo ukahisi unatamani kuoata mbunye ukabunyua?
Yaani ule umsisimko unaokufanya udindishe.

Yaan tunaweza ita Ndo NYEGE.
 
Mkuu,
Nna ushauri mmoja.

Nenda duka la dawa ujaribu kuboost erection yako.

Nunua dawa inaitwa ERECTRO 100gm,

Itasaidia kuongeza mzunguko wa damu Kwenye uume na sehemu mbalimbali mwilini.
hivyo kuufanya uongeze stamina kweye joints na uume uweze kusimama MDA mrefu zaidi.
 
Mkimtom........ba sana mkeo unapoteza radha ndio hapo umuhimu wa kuchepuka unapoonekana sometimes kuchepuka kunaimarisha ndoa
ukichepuka utakuja kurudi ndoani na ari mpya kasi mpya na nguvu mpya
Inategemea mtu na mtu
 
Mkuu,
Nna ushauri mmoja.

Nenda duka la dawa ujaribu kuboost erection yako.

Nunua dawa inaitwa ERECTRO 100gm,

Itasaidia kuongeza mzunguko wa damu Kwenye uume na sehemu mbalimbali mwilini.
hivyo kuufanya uongeze stamina kweye joints na uume uweze kusimama MDA mrefu zaidi.
Sasa hii si itamboost kwa muda mfup??au mzunguko ukiwa vyema utaendelea na kuufanya uume usismame vzr muda wote?
 
Kivip mkuu??au wapo wanaoridhika na mbunye moja kuchepuka kwao sio dili?
No, kuna wanaochepuka wakidhani wanasolve tatizo kumbe ndio analizidisha mwishowe anampa mchepuko attention kubwa kuliko mke wake wa ndoa
 
Sasa hii si itamboost kwa muda mfup??au mzunguko ukiwa vyema utaendelea na kuufanya uume usismame vzr muda wote?
Kitaalam Kuna ile Hali ya damu kuganda fasta,
Yaan ukidindisha afu ukakatisha, damu inang'ang'ania Kwenye kuta za mirija yanuume na kuganda.

Damu Hii inaziba mzunguko wa damu nyngn kuja na kuzunguka Kwenye uume mzima ili uweze kumantain erection.

Hivyo kufanya mzunguko mdogo wa damu Kwenye uume kua mdogo. Hivyo erection kua ya tabu Sana.

Na hata ukibahatisha ikasimama Basi huwezi kumantain kwa MDA mrefu.

Hizi dawa jamii ya sildenafil citrate (jamii ya ERECTRO, Viagra,Njoi n.k) hufaya kuidilute damu kwa MDA flani ili iwe nyepesi hivyo kuongeza mzunguko wa damu Kwenye vikuta vyembamba pembe zote za uume.

Kwaiyo,
Unaweza kuta akimeza na akaweza kuzibua mirija na kumantain, anaweza kuendelea naturally kama kawaida.
 
No, kuna wanaochepuka wakidhani wanasolve tatizo kumbe ndio analizidisha mwishowe anampa mchepuko attention kubwa kuliko mke wake wa ndoa
Sio Lazima awe na MCHEPUKO, akachukue TU ata wale wa kununua kwa MDA flani aone matokeo
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom