Msaada: Uume wangu unasimama kidogo sana nikiuweka ukeni unalala

Pole sana, itakua kuna mwanamke ulishamfanyia ubaya, akamshtakia Mungu... malipo hapa hapa...
 
Pole sana, itakua kuna mwanamke ulishamfanyia ubaya, akamshtakia Mungu... malipo hapa hapa...
Niliwah kutana na kijana mmoja alikua hvo alikuja kupina baada ya kuhangaika nae Sana miaka miwili,kumbe alimtenda mwanamke so akamfanyizia
 
Sababu zinaweza kuwa nyingi zinaweza kuwa huna fedha,umefirisika,mkeo mkali yaani unamuogopa,na yote hayo yanaweza kukuletea mawazo na hofu, Hofu ndiyo inayokufanya ushindwe,kila ukiingiza unawaza utashindwa na hapo akili zako unazihamishia kwenye kuwaza kushindwa na siyo kufanya mapenzi,tatizo linaanzia hapo.

Pia wewe wkt wa kufanya mapenzi mchezee Sana mkeo wewe asikuchezee. Kaa na mkeo mweleze tatizo lako...msaidiane kutatua tatizo hili,mkeo ana nafasi kubwa Sana ya kukusaidia,anachotakiwa aelewe wkt mgumu unaopitia, akuvumilie.

Nimekupa namba hii 0756625286 ya mshauri wa masuala ya uhusiano na ndoa mpigie umueleze shida yako then atakushauri.Mweleze kwa kina usimfiche.
Hapana sjawahi mftanyia mwanamke yoyote ubaya..labda ubaya Kama upi unaouzungumzia
 
Hivi ikitokea labda kwa wiki sku kama mbil inatokea haisimam asbh...ila sku zingine inasimama.....ni normal???
Ni Normal kabisa.

Hii ni kupanda na kushuka kwa hormone ya kiume. Mara nyingi ukilala vzr,ukiwa Umeshiba yaan ukarelax Lazima mzigo ukaze asubuhi au hata usiku Mara nyingi.

Kama hujasimama asubuhi basi utakuwa umesimama usiku.

Lakin Kama inapita week na week unalala tu basi Kuna tatizo hasa kwenye mzunguko wa damu na Mambo mengine
 
Ni Normal kabisa.

Hii ni kupanda na kushuka kwa hormone ya kiume. Mara nyingi ukilala vzr,ukiwa Umeshiba yaan ukarelax Lazima mzigo ukaze asubuhi au hata usiku Mara nyingi...
Yeah..nikistukaga mida kama ya tisa nakuta imekakamaaaaa......then ndo mapaka asubuhi au ndo sometimes asubuhi unakuta ipo normal ila saa tisa kumi ilkuwa imesimama
 
Hapana uume ulikua strong Ila Kuna nyakati zilikua inatokea zakushindwa uume kulala
Hilo hua linatokea kwa wengi lakini ni hofu tu na stress za hapa na pale hasa unapohitaji Kisha ukaweka hofu kua ntaweza kweli na Leo ? Hpo lazma net zipoteane
 
Mawazo hasa nnayo yakulala uume maana tunapokua ktk maandalizi uume unasimama Ila sio strong kabisa yaan ikifika hatuna kuanza tendo Ile napeleka uume ukeni kabla haujafika kugusa uke Basi uume unalala
Njoo inbox,hutajutia,ni kwa ushauri tu wala sihitaji hela yako...
 
Kuhusu BMI

BMI kuna instance inakua misleading as waweza kuta mtu ana kilo zinazozidi urefu ila yeye ni mfanya mazoezi ya kunyanyua uzito hence BMI itasema a guy is unhealthy kisa urefu na uzito ila inakua siyo kweli.

Kuhusu kulala kwa uume.

Kupitia comments jamaa anasema ishu ilikua ya kitambo kwa kushindwa kwenda raundi ya pili ila sasa hivi hali imezidi.

Unashindwa kwenda raundi ya pili je hii moja ilikua inakuchukua muda gani kumaliza?

Watoto wawili inamaanisha uko na shemeji kwa zaidi ya miaka 3 ambayo coincidentally ndiyo miaka ambayo mvuto baina ya wanandoa hupungua.

Hichi kipindi ngono hua haina moto kama kipindi cha nyuma.

Kama unajihisi hivyo na unaona mabadiliko kwa mkeo usidhani ni shida yako peke yako wengi wako katika hiyo hali na ndoa zingine hufa kipindi hichi.

Usisikilize maneno ya 'Asubuhi hua inasimama?' ukajijudge kutokana na asubuhi kusimama, hiyo siyo kanuni kuna watu wengi mno asubuhi wanaamka bila kusimamisha.

Katika comments umekiri kwamba una hofu. So what do you say? Tumalize hilo tatizo la hofu au we unaonaje?
 
Back
Top Bottom