Msaada: Uume kusinyaa mara tu nitakapo kufanya mapenzi

Masikini mjanja

JF-Expert Member
Oct 13, 2017
232
378
Naamini humu mko poa kabisa.

Kuna tatizo limenianza wiki sasa yaani uume unasimama vizuri ila pale napo taka kufanya mapenzi tu unaanza kulala, hili tatizo halikuwepo limeanza ni kama wiki na sasa.Yaani Uume unasimama na unakuwa mgumu kabisa ila ninapo anza sasa kuandaa mwenzangu unakuwa unaaza kusinyaa.

Naomba wajuzi mnisaidie nini shida make kwenye vyakula sina shida yoyote ile na kumbuka uume si kwamba hausimami unasimama hata wakati wowote ule shida ni hapo tu.

Kwa sasa hata mwenzangu anashangaano ni kitu gani kimetokea ghafla hivyo.
 
Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume.

Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,

Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.

Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha

Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.

1: kunywa Maji mengi kila siku

2 :Fanya mazoezi

3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.

4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.

5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.

NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!

Source : Jamii Forum
 
FAHAMU SULUHISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa.

Hivi upungufu wa nguvu za kiume ni nini? Kifupi ni mwanamume kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu bora zenye uwezo wa kutungisha mimba, au kutosimama kwa uume.

Takwimu zilizopo zinaonyesha kuwa asilimia 60 ya wanandoa nchini wanakabiliwa tatizo hili. Kwa hiyo, mabango ya waganga yaliyopo barabarani hayajapunguza kabisa tatizo hilo.

Hawa watu wanatibu watu au majini? Hapo ndipo kiini cha makala haya. Sababu kubwa ya ongezeko la wenye matatizo haya ni kwamba dawa nyingi zinazodaiwa kuponya tatizo hili hazina viwango vya kuitwa dawa, bali ni vichocheo tu kwani kinachopigiwa chapuo huwa ni kumudu tendo kitandani na si nguvu asilia.
Waganga wengi wameelekeza nguvu zao huko na ni hapo ndipo janga hili la kitaifa linapoota mizizi.

Ukweli ni kwamba upungufu wa nguvu za kiume hauondolewi kwa dawa za kuchochea nguvu wakati wa tendo. Hizi zina madhara makubwa na mara kadhaa husababisha vifo kwa wanamume wengi wakiwa ‘guest’ na vimada wao kwani hulipua moyo.

Ni lazima kiini cha tatizo hili kichunguzwe na tiba stahiki ipatikane. Kinyume cha hapo, janga hili linaweza kugeuka na kuwa dubwana kubwa la kutumaliza.
Matatizo ya nguvu za kiume huchangiwa na kuugua kwa muda mrefu, ugonjwa wa kisukari, kuvaa nguo za kubana sana, mionzi ya simu, kompyuta na mengineyo. Pia dawa za kuua wadudu huleta tatizo hili kwani zina viambata sumu viitwavyo ‘estrogen’, matatizo ya kisaikolojia, kupiga punyeto kwa muda mrefu na kutumia vyakula vyenye kemikali.

Utafiti unasema kuna uhusiano mkubwa sana kati ya upungufu wa nguvu za kiume na kuwa na sumu mwilini zinazotokana na vyakula vyenye kemikali tunavyobugia kwa kupenda au kutokupenda.

Ni kutokana na utafiti huo ndipo dawa bora yenye uwezo mkubwa wa kuondoa sumu mwilini kwa muda mfupi ikagunduliwa. Hii ikiwekwa kwenye kinywaji chochote chenye kemikali, mara moja hutenganisha sumu iliyomo humo.

Dawa hii pia huleta nguvu za kudumu za kiume, hujenga afya na kuleta nguvu asilia. Hutatua tatizo la nguvu za kiume huku ukiondoa pia tatizo la ugumba na ni vizuri wenye matatizo kama hayo wakatumia vyakula vya protini hasa ya mimea kwani hurutubisha mbegu.

Kuna aina 2 ya vyakula ambavyo vimefanyiwa utafiti na kubaini kuwa ni moja ya vyakula vinavyosaidia kuongeza nguvu za kiume na havina madhara katika engezeko la nguvu za kiume, katika vyakula hivyo vyenye uwezo wa kuongeza nguvu za kiume kiasili ni:

1. TANGAWIZI

- Tangawizi ni moja ya chakula kinachoweza kurejesha nguvu za kiume, unaweza kuichemsha tangawizi na ukatumia kwa kuinywa kama chai Asubuhi, mchana na jioni pia Tangawizi unaweza ukaitumia katika mchanganyiko wa kiasili kwa kutumia habat soda,asali,kitunguu saumu na tangawizi yenyewe.

JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:

Chukua tangawizi na kitunguu saumu vitwange kisha vichanganye na asali pamoja na unga wa habat soda na uwe unakunywa mchanganyiko huu kwa kutumia kijiko cha chai kimoja kutwa mara 3 kwa muda wa wiki moja na utaona mabadiliko.

2. TIKITI MAJI:

-Chakula kingine kinachosaidia katika upande wa kuongeza nguvu za kiume ni tunda la Tikiti Maji, unaweza ukachukua tikiti lako ukalikata na kutengeneza juice ya Tikiti kisha unakunywa ila sio lazima utengeneze Juice hata lenyewe tu unaweza ukalila. Ila jitahidi kutumia tunda hili hata kila siku kwani linasaidia sana kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.

Source : Jamii Forum
 
Huna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...namaanisha hauna tatizo hilo...kama ungekuwa na Tatizo hilo usingesimamisha kabisa hilo Rungu...chamsingi umeshapata fedheha kubwa kwa huyo mwanamke muache haraka sana, ata ukiendelea naye bado utakuwa unakumbuka jinsi mechi za nyuma zilivyokuwa zinakushinda....hivyo ukimuacha, ukianza mazoezi madogo madogo ya viungo kama kukimbia, kuruka kamba, kichura chura, hakikisha unafanya mazoezi hadi mwili unayazoea mazoezi, kula vyakula asilia Tangawizi, mbegu za maboga, ugari wa dona au mtama, matunda ndizi, matango, matikiti, parachichi, kunywa sana maziwa ya mgando ukiweza changanya na Tende vile vile usisahau kutumia asali angalau mara moja kwa siku.....ukiweza hayo tafuta msichana mrembo unaye mpenda ila awe mpya ambaye hujawahi kuanzisha naye mahusiano....kwenye tendo la ngono acha pupa kabisa...pupa ukuongezea wasi wasi...na mwisho wa wasi wasi ni kushindwa kulimudu tendo...nguvu unazo tatizo wasi wasi ndo unakumaliza...pole sana Mungu akusaidie
 
Ni kweli unacho sema mkuu, but mimi uume unasimama kama kawaida na wakati wowote, shida tu ni pale napokutana na mtu na ni kama wiki sass.
 
Tikiti maji ni hatari sana mkuu kwa hayo mambo ni zaidi ya tunda,

Aache haraka na apige matizi ya mwarabu fighter plus kula vizuri
Babu mi nlikua nakula misosi ya maana kuku wa kienyeji na samaki fresh tena naandaa mwenyew maziwa fresh daily na mazoezi kuruka kamba na kukimbia sema stress kazin kidogo zintoe roho moyo ulikua unakaa na wasiwasi mda wote parfomance ilishuka yenyew acha kabisa kazi za watu afu makampuni ya waswahili wenzetu ni noma sana
 
Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume.

Kwanza unatakiwa ujue kwamba hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume Bali zipo za kubusti tu na kukupa power kwa wakati husika,

Pili unatakiwa ujue kwamba ukishaanza kumeza dawa za kubusti wenyewe ndio mnaziita za kuongeza nguvu za kiume basi ujue wewe ni kama mgonjwa wa dawa za kulevya hauwezi kuperform mpaka ujibusti na dawa.

Hakuna mwenye upungufu wa nguvu za kiume wa kudumu Bali stress za maisha,Cycology ya mtu aliyojijengea na baadhi ya vyakula ndio vinavyosababisha

Fanya yafuatayo wish utakuwa Normal tu.

1: kunywa Maji mengi kila siku

2 :Fanya mazoezi

3:kula ushibe hapa ni pa kuzingatia sana siyo kila vyakula unafakamia tu.

4:Ondoa mawazo ya kwamba hauna nguvu za kiume.

5:Ralaxe na ujikubali kwamba hauna hilo tatizo.

NB;Achana na matapeli wanaosema wana dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati dawa kuu ya Nguvu za kiume ni wewe mwenyewe.!

Source : Jamii Forum
Akiacha stress alizonazo, ingawa anaweza kubisha kuwa yuko normal ila kuna mahali pana tatizo. Atumie zaidi ushauri wako namba 4 na 5 hiyo ndo tiba pekee kwenye hili.
 
Huna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...namaanisha hauna tatizo hilo...kama ungekuwa na Tatizo hilo usingesimamisha kabisa hilo Rungu...chamsingi umeshapata fedheha kubwa kwa huyo mwanamke muache haraka sana, ata ukiendelea naye bado utakuwa unakumbuka jinsi mechi za nyuma zilivyokuwa zinakushinda....hivyo ukimuacha, ukianza mazoezi madogo madogo ya viungo kama kukimbia, kuruka kamba, kichura chura, hakikisha unafanya mazoezi hadi mwili unayazoea mazoezi, kula vyakula asilia Tangawizi, mbegu za maboga, ugari wa dona au mtama, matunda ndizi, matango, matikiti, parachichi, kunywa sana maziwa ya mgando ukiweza changanya na Tende vile vile usisahau kutumia asali angalau mara moja kwa siku.....ukiweza hayo tafuta msichana mrembo unaye mpenda ila awe mpya ambaye hujawahi kuanzisha naye mahusiano....kwenye tendo la ngono acha pupa kabisa...pupa ukuongezea wasi wasi...na mwisho wa wasi wasi ni kushindwa kulimudu tendo...nguvu unazo tatizo wasi wasi ndo unakumaliza...pole sana Mungu akusaidie
Umetema point za maana sana!! Natafakari tu kama huyo aliyenaye sasa ni mke wake, sijui itakuwaje!!! Ila kama ni demu, afanye haya uliyomshauri na atafute binti mwingine pembeni ataona "nguvu ya buku"
 
kwanza kabisa ondoa mentality kuwa una tatizo la nguvu za kiume, huna lolote zaidi ya hofu iliyokujaa, pia stress ni kitu kibaya sana kwenye ufanyaji kazi wa mwili wa binadamu...tatua yote yanayokupa msongo wa mawazo, unaweza kuanza na kusali Mungu akupe inner peace
 
Back
Top Bottom